Home
Unlabelled
KUMBUKUMBU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mbona Nape hayupo kwenye list ya watoto wake?
ReplyDeletehata kama hawamtaji nyota yake inang'ara zaidi. anasimama mwenyewe. hao wengine nani anawajua? Napi juu,juuu,juuu,juuu zaidi
ReplyDeleteMungu amuweke pema peponi.He was a womaniser,ngono aliweka mbele sana.
ReplyDeleteNape Nnauye alikuwa mtoto wa nje au!!? halafu we anony hapo juu huwa hatumsemei mabaya marehemu hata kama aliyafanya.
ReplyDeleteNape mbona hayupo kwenye list ya watoto? Ndio ni mtoto wa nje ya ndoa lakini ni mtoto wake. Hebu simbague. RIP Brig. Gen M. Nnauye.
ReplyDeleteWabaguzi hao, sijui kwann cc watoto wa nje huwa ndugu zetu huwa hawatukubali, but kwa Uwezo wa mungu nyota zetu huwa zinang'aa sana........ Subirini ipo cku nape atashika madaraka makubwa ktk nchi hii .......
ReplyDeleteJamani hebu fanyeni uchunguzi siku zote WATOTO WA NJE ya ndoa ndio huwa MUNGU anawapa mafanikio makubwa kuliko hata wale walio katika ndoa hizo mnazooziita takatifu. KWANINI ni kwa sababu sisi huwa tunawanyanyapaa wakati MUNGU viumbe vyake vyote ni sawa hivyo huwaongezea zaidi uwezo wa akili, hali na mali. Ni kweli Nape hafanani hata kidogo na baba yake. NAPE JUU JUU JUU ZAIDI.
ReplyDeleteAcheni kashifa.
ReplyDelete