Salam,
URBAN PULSE CREATIVE inawaletea Mahojiano Mafupi na Mbunge wa Bariadi Mashariki Mh John Momose Cheyo walipokutana nae siku chache zilizopita katika Ofisi za Ubalozi wetu hapa London.
Asanteni,
URBAN PULSE CREATIVE
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jamani wewe mtangazaji mbona kiswENGLISH kingi ongea kiswahili fasaha maneno yapo ya kutosha. mbona BBC hawachanganyi?
ReplyDeleteHivi wewe Baraka unaongea lugha gani kifasaha? maana jinsi unavyoongea unasound kama unauwezo mkubwa sana wa kingereza, lakini juzi nilikusikia unaongea kingereza nikashangaa maana kilikuwa si kizuri pia bora hiki kiswahili. Halafu utachekaje hivyo jamani? lakini tunashukuru kwa jitihada mnazozifanya kutuletea baadhi ya vitu ambavyo tusingevipata katika channels nyingine za habari.
ReplyDeleteNAPENDAKUOTOA MAONIYANGU HAPA, KAZI NI NZURI SANA KUTOKA KWA VIJANA WA URBAN PULSE CREATIVE, TATIZO NIKUA ANAEHOJI HOST KIPINDIKA AJARIBU KUTUMIA LUGHA HUSIKA, KISHA AFANYE UTAFITI WA KIPINDI CHAKE KABLA YAJAFANYA MAHOJIANO YA MGENI WAKE.
ReplyDeleteHAYA NDIO MAONI YANGU
Pengine hizi lugha mbili huzalisha lugha ya tatu ambayo tumekuwa wagumu tu kuitambua. Yawezekana likawa ni suala la kiutafiti na kisaikolojia zaidi.
ReplyDelete