Salam,
URBAN PULSE CREATIVE inawaletea Mahojiano Mafupi na Mbunge wa Bariadi Mashariki Mh John Momose Cheyo walipokutana nae siku chache zilizopita katika Ofisi za Ubalozi wetu hapa London.
Asanteni,
URBAN PULSE CREATIVE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. jamani wewe mtangazaji mbona kiswENGLISH kingi ongea kiswahili fasaha maneno yapo ya kutosha. mbona BBC hawachanganyi?

    ReplyDelete
  2. Hivi wewe Baraka unaongea lugha gani kifasaha? maana jinsi unavyoongea unasound kama unauwezo mkubwa sana wa kingereza, lakini juzi nilikusikia unaongea kingereza nikashangaa maana kilikuwa si kizuri pia bora hiki kiswahili. Halafu utachekaje hivyo jamani? lakini tunashukuru kwa jitihada mnazozifanya kutuletea baadhi ya vitu ambavyo tusingevipata katika channels nyingine za habari.

    ReplyDelete
  3. NAPENDAKUOTOA MAONIYANGU HAPA, KAZI NI NZURI SANA KUTOKA KWA VIJANA WA URBAN PULSE CREATIVE, TATIZO NIKUA ANAEHOJI HOST KIPINDIKA AJARIBU KUTUMIA LUGHA HUSIKA, KISHA AFANYE UTAFITI WA KIPINDI CHAKE KABLA YAJAFANYA MAHOJIANO YA MGENI WAKE.

    HAYA NDIO MAONI YANGU

    ReplyDelete
  4. Pengine hizi lugha mbili huzalisha lugha ya tatu ambayo tumekuwa wagumu tu kuitambua. Yawezekana likawa ni suala la kiutafiti na kisaikolojia zaidi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...