Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akizungumza kwenye mkutano wa majadiliano wa Viongozi wakuu wa Nchi wanachama 194 wa Itifaki wa umoja wa mataifa wa mabadiliko ya Tabianchi, juu ya kupunguza uzalishaji wa gesijoto Duniani kabla ya kuanza kwa mkutano mkuu wa 17 wa umoja wa mataifa wa mabadiliko ya Tabianchi Duniani uliofanyika leo mjini Durban.
Home
Unlabelled
Makamu wa Rais Dkt. Bilal ashiriki mkutano wa majadiliano ya mabadiliko ya Tabianchi mjini Durban
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...