Bondia Rashidi Matumla (kushoto) akiwa chini baada ya kuteleza uku mpinzani wake Maneno Osward akimsubili kwa ajili ya kumpiga wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana wakati wa sikukuu ya Xmasi mpaka mwisho wa pambano point ni 99 kwa 99 hivyo kuwa droo.
Bondia Rashidi Matumla (kushoto) akiwa chini baada ya kuteleza huku mpinzani wake Maneno Osward akimsubiri kwa ajili ya kumpiga wakati wa mpambano wao uliofanyika jijini Dar es salaam jana siku ya Xmas.mpaka mwisho wa pambano point ni 99 kwa 99 hivyo kuwa droo.
Bondia Rashidi Matumla (kushoto) na Maneno Osward wakioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi wakati wa mpambano wao uliofanyika jijini Dar es salaam jana.mpaka mwisho wa pambano point ni 99 kwa 99 hivyo kuwa droo.
Bondia Maneno Osward (kushoto) akimuacha Rashidi Matumla chini baada ya kuanguka kwa kuteleza wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana wakati wa sikukuu ya Xmasi mpaka mwisho wa pambano point ni 99 kwa 99 hivyo kuwa droo.Picha na Super D Blog.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Haaaa, yaani hata ka pointi kamoja ka tofauti hakuna?

    Hamkupanga matokeo?

    Hata Mapacha wakizaliwa mmoja anatangulia japo kwa sekunde au dakika!

    ReplyDelete
  2. Hivi hawa mabondia hawajui maana ya kustaafu? tangu niko darasa la tano bado mabondia sasa hivi watakuwa 5oyrs of age.Muda wa kustaafu na kulea vijukuu huu, Oswald na Matumla

    ReplyDelete
  3. Huyu Rashid Ataacha lini kupigana. mimi namsikia toka enzi zangu za msingi miaka ya 80. sasa nipo kiwanja yeye bado anatafuta kufa ulingoni. kiafya si vizuri kuendelea kupigana. Ameshazeeka, achia watoto waendeleze game, wewe kuwa kocha.

    mZEE wa BUSARA

    ReplyDelete
  4. hawa jamaa wanatafuta mpunga wa sikukuuu wanatuzingua tu! Ngumi wanapigana mikononi! wachapane kwweli basi!

    ReplyDelete
  5. hawa kina matumla muda wao umepita sasa tusubiri wampya!

    ReplyDelete
  6. Huyu Rashid Matumla "Snake Boy" bado anapigana tu? Halafu anagalia hiyo picha anakitambi? Naomba mtu wangu "Snake Boy" ustaafu au piga mazoezi zaidi kuondoa hicho kitambi.

    ReplyDelete
  7. hawa jamaa watauana sasa, upinzani wao mkubwa sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...