Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu ( kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mwanae, Khalid Mwambungu, pamoja na Mama yake, mara baada ya kutunukiwa Shahada ya kwanza ya Utawala ya Menejimenti ya Rasiliamali Watu kutoka Chuo Kikuu Mzumbe, yaliyofanyika hivi karibuni Mjini hapa.
Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe Mkoa wa Mwanza,Mh. Queen Mlozi ( kulia) akitoa zawadi kwa Khalid Mwambungu ambaye ni Mtoto wa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,Said Mwambungu ( hayupo pichani) baada ya kutunukiwa Shahada ya kwanza ya Utawala ya Menejimenti ya Rasiliamali Watu kutoka Chuo Kikuu Mzumbe, yaliyofanyika hivi karibuni Mjini hapa.Picha na John Nditi).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...