Bondia Rashidi Matumla (kushoto) akiwa chini baada ya kuteleza uku mpinzani wake Maneno Osward akimsubili kwa ajili ya kumpiga wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana wakati wa sikukuu ya Xmasi mpaka mwisho wa pambano point ni 99 kwa 99 hivyo kuwa droo.
Bondia Rashidi Matumla (kushoto) akiwa chini baada ya kuteleza huku mpinzani wake Maneno Osward akimsubiri kwa ajili ya kumpiga wakati wa mpambano wao uliofanyika jijini Dar es salaam jana siku ya Xmas.mpaka mwisho wa pambano point ni 99 kwa 99 hivyo kuwa droo.
Bondia Rashidi Matumla (kushoto) na Maneno Osward wakioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi wakati wa mpambano wao uliofanyika jijini Dar es salaam jana.mpaka mwisho wa pambano point ni 99 kwa 99 hivyo kuwa droo.
Bondia Maneno Osward (kushoto) akimuacha Rashidi Matumla chini baada ya kuanguka kwa kuteleza wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana wakati wa sikukuu ya Xmasi mpaka mwisho wa pambano point ni 99 kwa 99 hivyo kuwa droo.Picha na Super D Blog.
Haaaa, yaani hata ka pointi kamoja ka tofauti hakuna?
ReplyDeleteHamkupanga matokeo?
Hata Mapacha wakizaliwa mmoja anatangulia japo kwa sekunde au dakika!
Hivi hawa mabondia hawajui maana ya kustaafu? tangu niko darasa la tano bado mabondia sasa hivi watakuwa 5oyrs of age.Muda wa kustaafu na kulea vijukuu huu, Oswald na Matumla
ReplyDeleteHuyu Rashid Ataacha lini kupigana. mimi namsikia toka enzi zangu za msingi miaka ya 80. sasa nipo kiwanja yeye bado anatafuta kufa ulingoni. kiafya si vizuri kuendelea kupigana. Ameshazeeka, achia watoto waendeleze game, wewe kuwa kocha.
ReplyDeletemZEE wa BUSARA
hawa jamaa wanatafuta mpunga wa sikukuuu wanatuzingua tu! Ngumi wanapigana mikononi! wachapane kwweli basi!
ReplyDeletehawa kina matumla muda wao umepita sasa tusubiri wampya!
ReplyDeleteHuyu Rashid Matumla "Snake Boy" bado anapigana tu? Halafu anagalia hiyo picha anakitambi? Naomba mtu wangu "Snake Boy" ustaafu au piga mazoezi zaidi kuondoa hicho kitambi.
ReplyDeletehawa jamaa watauana sasa, upinzani wao mkubwa sana
ReplyDelete