Mwakilishi Mkazi wa UNOPS nchini Sierra Leone Bw Omary Mjenga akiwa na Mwakilishi Mkazi wa UNAIDS Bi. Mulunesh, raia wa Ethiopia, kwenye sherehe hizo, ambazo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Sierra Leone Mh Ernest Koroma. Bi Mulunesh aliwahi kuwa Mwakilishi Mkazi wa UNAIDS nchini Tanzania mwaka 1996 hadi 2000.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. KWA HIYO MJENGA NI MWAKILISHI WA UNOPS YA SIERRA LEONE AU NI MWAKILISHI WA UNOPS NCHINI TANZANIA AKIWA SIERRA LEONE?
    JUST KUULIZA MANAKE KISWAHILI KIMENICHANGANYA HAPO WADAU. NIFAFANULIENI KISTAARABU TU...PLEASE.
    KAMA NI M'BONGO ANAFANYA KAZI UNOPS KWA KUWAKILISHA SIERRA LEONE, BIG UP MJENGA. MANAKE HATA T SHIRT INA FLAG YA SL.

    CHEERS

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...