Mwenyekiti wa Kikao kilichouwa kikijadili wajibu wa taasisi za kijamii katika usalama wa watu wanaoishi katika katika mazingira magumu barani Afrika,Bw. Eliud Sanga (Tanzania) akiongea wakati wa Mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda ya Afrika unaondelea leo ilikiwa ni siku ya pili ya mkutano huo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha.
Mkurugenzi Mkuu wa NSSF,Dr. Ramadhan Dau pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa SSRA,Bi. Irene Isaka wakifurahi jambo wakati Mkutano wa Kimataifa wa Mashirika ya Hifadhi ya Jamii ya Ukanda ya Afrika unaoendelea leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha.
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano huo wakifuatilia kwa makini.
Mtoa Mada wa Kikao hicho,Bw. Nathaniel Wellington (Sierra Leone) akiisoma wakati kwa mkutano huo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...