Umoja wa Watanzania waishio Northern California ( TCO ) maeneo ya San Francisco Bay Area Wanayofuraha kuwatangazia na kuwakaribisha watanzania wote pamoja na marafiki wa watanzania katika sherehe za kutimiza miaka 50 ya uhuru wa Tanzania Bara siku ya jumamosi tarehe 10/12/2011 .Sherehe hizo zitafanyika jijini Oakland katika anuani ifuatayo
California Ballroom
1736 Franklin Street
Oakland Ca 94612
Asanteni , Nyote mnakaribishwa
B. Mwesigwa
Mwenyekiti wa Watanzania ( TCO ) Northern California
Noti hii inawezekana kwa sasa ni sawa na Tshs. 1 million,,,!!!
ReplyDelete