Mdau na mpiganaji machachari Idd Ligongo, hivi juzi kati alikula Nondozzz ya "master of arts in communication," kutoka chuo kikuu cha Wichita State University, kilichopo Jimboni Kansas, nchini Marekani.
Mpiganaji Ligongo baada ya kuchukua cheti chake.
Mdau akiwa na mai waifu wake Mary-Mzubwa Ndaro, hii inakuwa kama vile mdau karudisha bao baada ya mai-waifu wake kula nondo toka chuo hicho hicho hivi karibuni.
safiiiiiiiiiiiiiiiiiii
ReplyDeleteHongera sana Iddi Ligongo (Biko), kutoka kwenye kuigiza na akina Cheni na Muhogo Mchungu hadi Masters. Safi ana na Mungu akusaidie uweze kusonga mbele. Big up sana
ReplyDeleteHongera sana Idd Ligongo aka Biko. Wengine waige mfano wako.
ReplyDeletehongera sana kaka.
ReplyDeleteCongratulations!!
ReplyDeleteYaani kweli Mungu mkubwa, ongeza bidii kaka. Nadhnai wasanii wengine nao waige mfano jaman, maana wengine wameshajisahau na wanaona wamefika.
Kijana hongera sana kwa kuwa mfano kwa wasanii wengine. wewe umedhihirisha kuwa inawezekana! Nakupa big up na kukutakia mafanikio mengi zaidi
ReplyDeleteMdau
Hongera sana Baba na Mama Delgado, great achievement my wadogos! Much greetings from Femina HIP Family...tutaenda tena Songea kufanya prog ya Safe Motherhood...Congrats!
ReplyDeleteKwa kweli wewe Mwanamke Mary unatisha, mambo yako ni bomba sana umemuita Mume kuja kusoma Masters Kaitika leo hii mnaongea lugha moja.hongereni sana. Iddi umewafundisha wanaume wengine kuthamini michango ya wake zao. kwel iinapendeza. Nawatakia kila laheri.
ReplyDeleteMdau
South Korea
Hongera Iddi Ligongo, umepiga hatua na kudhihirisha katika karatasi vipaji vyako asilia katika fani. VOA team
ReplyDeleteHongera sana Idd, Mary wewe ni jembe mama kwa jinsi ninavyokufahamu na PhD someni kabisaaa! songeni mbele na Mungu atawabariki. Sijamwona Delgado mmemwacha wapi??
ReplyDeleteHongera Kaka Iddi Ligongo a.k.a Biko. Hongereni tena kwa kupata baby mana last tm nilimwona wifi akiwa mambo safi Hope MUNGU NI MWEMA baby atakuwa hajambo. Msalimieni baby pia.@ your fan..!!
ReplyDeleteIdd kaka yangu hongera sana sana, naamini wasanii na watangazaji wanaojiona wamefika waige mfano kwako Keep it up bro
ReplyDeleteMdau
hongera Idd umenifanya niipende fani ya utangazaji now ni presenter mzuri tuuuuuuuuuuuu
ReplyDelete