Mheshimiwa,
Naomba msaada wa kibinadamu haraka iwezekanavyo kwa mtu yeyote anayezungumza lugha ya Kikerewe kwa ufasaha aliyeko nchini Uingereza.
Tafadhali kama unamjua rafiki au ndugu au wewe mwenyewe unaishi Uingereza na unakiongea Kikerewe vizuri basi wasiliana na ndugu Eli kupitia email:
etambala@yahoo.co.uk au simu 07950413788 (kwa walioko Uingereza tu) kwa maelezo zaidi.
Asante sana kwa msaada wako.
Eli
Mkalimani wa mambo ya kujilipua aka asylum, kila la kheri kaka.
ReplyDeletejamani ukerewe kule salama?tupeana basi habari kama kunavurugu ya aina yoyote kwa wale ambao tupo london tuwahi nyumba kubwa kujilipua.
ReplyDeleteSijamuelewa, kwani waingereza hicho kingereza ndio lugha yao au anataka mtu wa aina gani?
ReplyDelete1.kwanza kama unatatizo si uende ubalozi wa tanzania hapo london.
ReplyDelete2. ungekuwa vizuri uandike angalau tatizo lenyewe si kiundani, angalau kudokeza tu
SASA KAMA BWIKO NI GOGORO,UMEFUATA NINI NCHI ZA WATU HUKO?
ReplyDeleteANYWAY JUST A TIP,UKIFIKA MSALANI MEN NI UPANDE WA WANAUME,NA WOMEN NI KWA WANAWAKE,WASIJE WAKAKUFUNGULIA KESI YA KUBAKA.
Sina hakika na hilo la kujilipua lakini kama ni kweli ipo haja ya watanzania kuasha mawazo finyu ya aina hii. Miaka michache iliyopita nilisikia jamaa moja tuliosoma nao O' level na akapata one ya point 8, 1994 na kupata one ya point 4 kama sikosei A level na kusoma kompyuta Sayansi na kufaulu huko Asia Ulaya na baada ya kumaliza na kufaulu akajilipua UK kama msomali. Nilisikitishwa kwa mtu mwenye uwezo kama huu bado umebaki kuwa na wa darasani lakini akili si yake! Hakuwa huru kiakili tena nasikia alisoma tena degree hiyohiyo ya kwanza Uingereza! HUU NI UPUUZI NA ULIMBUKENI WA HOVYO.
ReplyDeleteMbona kaeleweka vizuri. Hawezi kuanika hapa kila kitu. Wewe kama wakijua kikerewe, ametoa njia za mawasiliano. Wasiliana naye, utajua anachotaka. Ebooo!
ReplyDeleteWasiliana na wana CCM UK watakupa njia sahihi bila longo longo wako karibu miji yote ya UK. wana huduma hata kama unataka contacts za kibiashara, utalii, michezo, elimu na kisheria tena bureeeeeeeee
ReplyDeleteKimamba
Wewe Upo ukwerewe = UK unatafuta mtu anayejua kikerewe =English?? hujasomeka vizuri.
ReplyDeletehuyu anatafuta mtu anaeongea kikerewe cha ukerewe tanzania na si anaeongea kiingereza!!
ReplyDeleteHuko UK watu wanafanya kazi nyingi miongozi mwake ni ubebaji wa maboksi madukani!.
ReplyDeleteMtu akiwa anafanya kazi ya Ukuli yani ubebaji Maboski anakuwa akili zake sio timamu!
Sasa hebu angalieni tangazo hilo la mzungumzaji kikerewe na mazingira yenyewe si ndio walewale?
Hebu angalia wazee wetu hapa Bandarini Dar Es Salaam Tanzania, unakuta mtu mzee alikini matusi na mambo ya ovyo ovyo kwenda mbele!