Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Pereira Ame Silima akitoa hotuba kwa wahitimu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania jijini Dar es salaam wakati wa sherehe za mahafali ya tisa(9) ya Taasisi hiyo ya kuwatunuku vyeti na shahada wahitimu hao.
Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Pereira Ame Silima (katikati) akizindua Mkataba wa Huduma kwa Mteja wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania(TIA) jijini Dar es salaam mara baada ya mahafali ya tisa(9) ya Taasisi hiyo. Wengine ni Mwenyekiti wa Bodi ya Ushari ya TIA Profesa Isaya Jairo(kushoto) na Kaimu Mtendaji Mkuu wa TIA Shah Hanzuruni(kulia).
Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Pereira Ame Silima (katikati) akiwahutubia wafanyakazi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania(TIA) jijini Dar es salaam jana mara baada ya kuzindua Mkataba wa Huduma kwa Mteja wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania(TIA). Wengine ni Mwenyekiti wa Bodi ya Ushari ya TIA Profesa Isaya Jairo(kushoto) na Kaimu Mtendaji Mkuu wa TIA Shah Hanzuruni(kulia).
Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Pereira Ame Silima (kushoto) akibadilishana mawazo na Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Shaban Kissu (kulia) jijini Dar es salaam jana mara baada ya kumalizika kwa sherehe za mahafali ya tisa(9) ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA).
Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) wakicheza muziki wakati kwa sherehe za mahafali ya tisa(9) ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA).Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO-Dar es salaam.
Naona mzee wa Taxation unakwaitoka hapo..hahahaha saaafi saaana!
ReplyDeleteHakunagaaaa ....kama wewe....hakunagaaaa!
ReplyDeleteAnko Prof. Jairo nakusalwitu, mtaalam wa Tax - IFM.
ReplyDelete