
Mtendaji Mkuu wa Tanroads Eng. Patrick Mfugale
--
Mtendaji Mkuu wa Tanroads Eng. Patrick Mfugale amefanya mabadiliko makubwa kwenye safu ya uongozi ya Tanroads katika mikoa yote 25 ya Tanzania Bara.
Mabadiliko haya yamelenga kuongeza ufanisi katika kusimamia miradi ya barabara hasa huko mikoani na kwamba Mameneja hao wa mikoa sasa watawajibika kusimamia ubora wa kazi, kukamilika kwa miradi hasa ya maendeleo ndani ya muda wa mkataba hasa kwa miradi inayohusu mikoa yao na kuhakikisha kuwa thamani ya fedha zilizotumika ‘value for money’ inazingatiwa.
Katika mabadiko hayo kuna Mameneja saba wapya. Mameneja wengine watano wamehamishwa vituo, Mameneja wanne wakiteuliwa katika mikoa mipya na Mameneja tisa wakiwa wamebaki katika vituo vyao vya zamani.
Mameneja saba wapya walioingizwa katika mabadiliko haya ni:
Mkoa wa Dar es Salaam , Eng. Julius Ndyamukama ambaye alikuwa Tanroads Makao Makuu na amechukua nafasi ya James Nyabakari aliyehamishiwa Mbeya ambako Eng. Lucian Kileo aliyekuwa huko amehamishiwa Tanroads Makao Makuu ambako atapangiwa kazi nyingine.
Mkoa wa Kilimanjaro ameteuliwa Eng. Mwita Marwa Rubirya akitokea Wizara ya Ujenzi Makao Makuu. Naye Eng. Tumaini Sarakikya aliyekuwa Meneja wa mkoa huo amehamishiwa mkoa wa Pwani.
Eng. Isaac Mwanawima amehamishiwa mkoa wa Lindi akitokea Makao Makuu ya Wizara ya Ujenzi akichukua nafasi ya Eng. Michael Kulaya anayehamia Tanroads Makao Makuu.
Eng. Dorothy Mtenga amepelekwa Morogoro akitokea Tanroads Dodoma na anachukua nafasi ya Eng. Charles Madinda ambaye sasa amehamishiwa Tanroads Makao Makuu.
Huko Shinyanga Eng. Augustine Witonde Philip amepangiwa mkoa huo akitokea Tanroads Dar es Salaam , anachukua nafasi ya Damian Ndabalinze ambaye amehamishiwa mkoa wa Tabora.Kwa Mkoa wa Rukwa amehamishiwa Eng. Florian Kabaka ambaye awali alikuwa Tanroads Makao Makuu na anachukua nafasi ya Eng. Joseph Nyamhanga ambaye ameteuliwa kukaimu nafasi ya Mkurugenzi wa Barabara, Wizara ya Ujenzi. Nafasi hiyo ya Mkurugenzi wa Barabara ilikuwa wazi kufuatia kuteuliwa kwa Eng. Mussa Iyombe kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.
Aidha Eng. Isaack Kamwelwe amehamishiwa mkoa mpya wa Katavi akitokea Wizara ya Ujenzi Makao Makuu.
Mameneja watano waliohamishiwa mikoa mingine ni:
Eng. Damian Ndabalinze anahamia Tabora akitokea Shinyanga. Hapa Eng. Ndabalizne amechukua nafasi ya Eng. Partson Masebo aliyehamishiwa Makao Makuu ya Tanroads. Eng. Tumaini Sarakikya maepelekwa mkoa wa Pwani akitokea mkoa wa Kiliamnjaro. Aliyekuwa Meneja wa Tanroads mkoa wa Pwani Eng. Gabriel Mwikola amepelekwa Mtwara ambapo Eng. Mussa Mataka aliyekuwa Meneja wa mkoa huo amepangiwa Tanroads Makao Makuu. Naye Eng. James Nyabakari amepelekwa Mbeya akitokea Dar es Salaam.
Mameneja wanne waliopangiwa mikoa mipya kama ifuatavyo:
Eng. Haruna Senkuku anakwenda mkoa wa Geita akitokea mkoa wa Kigoma. Nafasi yake kwa mkoa wa Kigoma inafanyiwa kazi.
Mkoa wa Katavi amepelekwa Eng. Isaack Kamwelwe ambaye awali alikuwa makao makuu Wizara ya Ujenzi. Kwa mkoa wa Njombe Eng. Yusuf Mazana ameshika nafasi ya Meneja wa Mkoa akitokea ofisi ya Tanroads mkoa wa Ruvuma . Mkoa wa Simiyu amepelekwa Eng. Emanuel Kibeya ambaye ametokea ofisi ya Tanroads mkoa wa Tabora.
Mameneja tisa waliobaki katika vituo vyao vya zamani ni kama wafuatavyo;
Mkoa wa Arusha – Eng. Deusdedit Kakoko, Mkoa wa Dodoma – Eng. Leonard Chimagu, Mkoa wa Iringa – Eng. Poul Lyakurwa, Mkoa wa Kagera - Eng. Johnny Kalupate, Mkoa wa Mara – Eng. Emmanuel Korosso, Mkoa wa Manyara - Eng. Yohani Kasaini, Mkoa wa Mwanza – Eng. Leonard Kadashi, Singida – Eng. Yustaki Kangole na Mkoa wa Tanga amebakia Eng.
Alfred Ndumaro.
Taarifa hii imetolewa na;
Martin Ntemo
Msemaji wa Wizara ya Ujenzi.
Waislamu hampendi mambo ya uhandisi au vipi? Naona hapa TANROADS hamuenakani kabisa. Au ni bahati mbaya tuu!
ReplyDeleteI REAL REAL LOVE YOUR BLOG YOU ARE REAL INSPRING ME I WISH I COULD BE A BIG BLOGGER LIKE YOU BUT I STRONGLY BELIEVE ONE DAY YES MY BLOG IS WWW.PANDEHIZI.BLOGSPOT.COM PLEASE LET THEM CHECK JUST FOR ME THAKS
ReplyDeleteBIG UP BROTHER
ReplyDeletehata mimi nimeshangaa hakuna Waislamu kabisa tanroads. idara nzima imejaa wasomi wa tumaini university waliozoea kuiba mitihani. tunataka kuona tanroads inaajiri wahitimu toka morogoro muslim univ.
ReplyDeleteSpeech of Tumaini Geofrey Temu on Car accident that happening in Tanzania.
ReplyDeleteFirst of all i am well practical trained student of engineering from university of dar es salaam FOE if you ask my instructor like Dr Nyaoro, Dr Chamuriho,Dr Mushule Dr Shirima Mabenzi and dr Shirima Police + Professor sitatubu mathias lema they will tell you my concentration was not what i got from the testes but what i studied mater to real life.
I meet Dr mendinayo Mutabazi he was teaching me survey engineering and some courses regarding to traffic engineering. In his class he say why we called accident are normal called crushes that means they are preemptive they are not happening in an unavoidable ways , So all we have are crushes not an accident we can prevent them once and for all. I have just complete a master plane that will change all Tanzanian high ways system and make it safer may be in the world. One thing kill as is having two lane and to way that course a problem on overtaking because you have to do it in an opposing lane . and if your are a left-hand driver and you don't have a navigator you will have no knowledge weather is i a car. so all highways in Tanzania must be what we call double road. we are not ready to loose a single life for any budgetary reasons. We will do all we can to have ant amount of money to do the best job the world has never seen to save one life. We beleave in human capital that a whom being is a resource any object weather is a space shuttle can be manufactured but not human life. My government will not let any one die for any thing that is cost related. I will post some pictures with the view of intended high ways > Thank you my people thanks God for blessing Tanzania
Kaka mtaka mabadiliko,ulikuwa unataka kutueleza nini?kwa nini usiandike kiswahili?kama kweli umefika chuo kikuu,basi kazi ipo..na kama hivyo ndivyo unavojielezea kwenye ripoti na mitihani yako,nawaonea huruma hao wakufunzi wako..hivi wanakuelewa kweli au wanakuachia tu ufaulu..na kama umemaliza uni na umepata kazi,mungu mkubwa..mabadiliko yaanzie kwenye elimu..bora kutumia kiswahili mpaka uni..tafadhali tumia kiswahili siku nyingine kwani kama kweli hivyo ulivyoandika ndio hali halisi,kazi ipo...
ReplyDeletePanga Pangua ya Wahandisi wa Tanroads yote hii,,,hapa sio bure pana walio boronga!!!,,,ina maana hapo wote ni safi tu?...hakuna hata mmoja aliyewajibishwa kwa kufukuzwa kazi kabisa?
ReplyDeleteAhhh jamani tuache utamaduni wa kubebana bebana!
ina maana katika pangua hii hakuna mchawi hata mmoja alieshikwa?
ReplyDeleteNapata tabu jamani...nani alaumiwe kwa hili!? Ya kwetu hatuijui...ya kwao hatuijui...It is just too confusious!
ReplyDeleteMdau wa kwanza hapo juu Sehemu iliyojazana Wachagga...Muislamu ana nafasi?.
ReplyDeleteWakati unajua kabisa kuwa mkoa wa Kilimanjaro Waislamu ni wachache sana wanahesabika na kazi wanagawa kindugu ktk taasisi zetu!
Mdau wa kwanza TANROADS,TRA,CRDB ni za Wachagga,
ReplyDeleteNi mara chache sana kupata Mchagga aliye Muislamu.
Pia inafahamika ktk taasisi hizo ukiomba kazi wanaangalia surnames kwanza na kila application ya kazi lazima iambatane na kimemo au reference inayoanza na,,,haikambe mekuu,,,Shimbonyi Shafoo!
watyoue hamjulikani tanasubiri mfe wote tujenge nchi
ReplyDelete