Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein akitoa hotuba yake kuhusu Usalama Barabarani katika uzinduzi wa Taifa wa Usalama Barabarani uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Bwawani Mjini Zanzibar
Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar,Hamad Masoud Hamad akitoa hotuba kuhusu Usalama Barabarani katika uzinduzi wa Taifa wa Usalama Barabarani kabla ya kumkaribisha Mgeni Rasmi Rais Shein kuhutubia katika Ukumbi wa Hoteli ya Bwawani Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein akivishwa Beji kuashiria Usalama Barabarani na Rais wa Kitengo cha Usalama Barabarani wa Oman Balozi Wahid Alkharous katika Ukumbi wa Hoteli ya Bwawani Mjini Zanzibar leo katika hafla ya uzinduzi wa Taifa wa Usalama Barabarani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein akimfariji Mgonjwa Yassir Yussuf ambaye amepata ajali ya Pikipiki na kulazwa katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar katika Uzinduzi wa Taifa wa Usalama Barabarani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein akiwa katika matembezi pamoja na Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad kulia kwake,kushoto kwa Rais ni Rais wa Kitengo cha Usalama Barabarani wa Oman Balozi Wahid Alkharous walipokuwa wakielekea Hospitali ya Mnazi Mmoja ili kuwakagua wagonjwa waliokuwa wamepata ajali.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hehehe, naona shughuli nyingi siku hizi zinakuwa na mwakilishi kutoka Oman, yetu sie macho tu!!

    ReplyDelete
  2. RAIS ANJISIKIAJE KUMFARIJI MGONJWA ALIYEKOSA SHUKA BADALA YAKE KAJIFUNIKA KHANGA? PENGINE INAWEZEKANA HATA RAIS DAKTA SHEIN HAKULIGINDUA HILI WATI WA ZIARA YAKE.

    ReplyDelete
  3. Jamani mnyonge mnyongeni haki yake mpeni! mbona hivyo vitanda vinaonekana vina mashuka mazuri tu. Hii ni kawaida kwa akina mama kupenda kuzitumia khanga zao hata kama mashuka yapo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...