Ofisa Mwandamizi wa Tume ya Ushindani (FCC) , Joshua Msoma (kushoto) akiwaonesha washiriki wa Mkoa wa Morogoro kutoka Taasisi mbalimbali za binafsi na za Umma pamoja na watumishi wa Serikali,baadhi ya bidhaa bandia za aina mbalimbali ili kutofautisha na zile halali wakati walipoandaliwa Semina ya Uhamasishaji na Uelimishaji wa Wadau kuhusu Masuala ya Ushindani,Kumlinda Mlaji na Mapambano Dhidi ya Bidhaa Bandia.Picha na John Nditi wa Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hizi bidhaa bandia ziko kwa wingi na zinaingia bandarini sehemu ambayo ilitakiwa zikamatwe unatwezaje kuzuhia zikifika mitaani?acheni kutufumpa macho kama mnataka kuzuia hao wanaoleta wakamatwe bandarini,maana ukienda duka la spare unaulikwa orijinal au fake?nauliza fake imefikaje wanasema sererikali inaruhusu,sasa leo mnajifanya kuna semina ni ulaji wa pesa ya mvija jasho tu.

    ReplyDelete
  2. Hivi hizo semina zinaweza kuwa kweli suluhisho la kuzagaa kwa bidhaa bandia? Au ni utafutaji tu was pa diem poshos kwa watumishi?

    ReplyDelete
  3. SI WANGESEMA WAZI TU KUWA NI MPAMBANO WA KUPAMBANA NA VITU TOKA CHINA...LOL

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...