Waziri Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda akizungumza katika hafla ya utoaji Tuzo za Rais za Mwaka 2011 za Mzalishaji Bora kwa wanachama wa Shirikisho la wenye Viwanda Tanzania (CTI). Hafla hiyo ilifanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi kombe Mkurugenzi wa Mahusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steven Kilindo wakati wa hafla ya utoaji Tuzo za Rais za Mwaka 2011 za Mzalishaji Bora kwa wanachama wa Shirikisho la wenye Viwanda Tanzania (CTI). Hafla hiyo ilifanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa CTI, Felix Mosha akizungumza katika hafla hiyo.
kuona picha zaidi
waziri mkuu,Mizengo Pinda ; nafikiri sawa ni Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda. Nimegundua wakuu wa mikoa wote unatumia Mh, angalia wa Rukwa, Ruvuma.
ReplyDelete