Mh. Balozi Peter Kalleghe na mke wake wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watu (kati) waliokuwepo wakati Tanzania Bara inapata uhuru mwaka 1961
Hii tie kwenye picha ni tie yenye miaka 50 na walipewa siku Tazania bara ilipo pata uhuru
TIE YENYE HISTORIA IKIWA NA MNYAMA WETU WA TAIFA 'TWIGA'
Mama Balozi akiiangalia tie kwa ukaribu
Agnes Kundy pia alipata naafasi yakuiangalia tie yenye historia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. mbona habari yenyewe iko kipande!? Huyo ni balozi wa Tanzania nchi gani? Hao jamaa ni raia wa wapi na hiyo Tai walipewa wakiwa bongo au huko huko?

    ReplyDelete
  2. Balozi safi sana inaonekana mpo busy sana na mama balozi

    ReplyDelete
  3. sijambo la kuuliza kwani tai hizo wako nazo wamarekani ?ni uko kwa malikia na huyo babu mbona asemi alikuwa nani Tanganyika !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...