Sehemu ya barabara ya Bagamoyo road maeneo ya Mbezi kwa Komba jijini Dar inavyoonekana leo, ambapo ujenzi wake wa njia mbili unaoendeshwa na kampuni ya Konoike unaendelea kwa kasi na ustadi wa kuridhisha. Barabara hiyo itakuwa ya njia mbili kutokea Mwenge hadi njia panda ya Wazo. wadau wengi wameisifu kampuni ya Konoike kwa kuonesha weledi katika ujenzi wa barabara hii tofauti na ilivyo barabara ya Mbagala ambako kampuni ya Kajima inasemekana imeshindwa kukidhi ubora unaotakiwa kiasi ya kwamba serikali imagoma kuipokea barabara hiyo ambayo badala ya raha imekuwa karaha kwa wana Mbagala
Home
Unlabelled
ujenzi barabara ya bagamoyo road waendelea kwa kasi na weledi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...