Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya Super Brands, Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania, Mwamvita Makamba, wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi tuzo hizo kwa Makampuni yaliyofanya vizuri kwa mwaka 2011, iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Mkurugenzi wa Superbrands, Jawad Jaffer (kulia) ni Mkuu wa kitengo cha Matangazo wa Vodacom Tanzania, Joseline Kamuhanda.
Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania, Mwamvita Makamba akizungumza katika hafla hiyo wakati akitoa shukrani zake kwa waandaaji wa tuzo za Super Brands

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Daktari Makamu wa Raisi , baadala ya kuwa Mgeni rasmi mara kwa mara ktk mafunguzi ya matukio, ingefaa atoe mchango wake wa Uhandisi wa Fizikia na Nyuklia Kitaaluma hata kama sio kwa kufundisha vyuoni angalau kwa mada na articles ktk njia za habari kwa faida ya nchi!

    ReplyDelete
  2. tupeni list nani aliongoza, mbona wametajwa Vodacom wenyewe...Acheni kubana. Toeni list yote

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...