baadhi ya akina dada wa Tanzania wanaosoma University of Oregon.
Mdau Marko wa University of Oregon (kushoto) akiwa na mdau Bash Alex toka Washington State.
Mdau Marko Mwipopo (kushoto) akibadirishana mawazo na profesa Slobodan wa Uhandisi chuo cha Oregon Institute of Technology (OIT)
Mdau Evans wa University of Oregon akijidai na mavazi yenye alama za Kitanzania!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. du nawezaje kupata sweta kama la mdau Evans jamani mnaohusika nielekezeni

    ReplyDelete
  2. acha ushamba mmekwisha anza tafuta art yako! wewe vipi + safairi nenda marekani ukanunue ziko nyingi

    ReplyDelete
  3. Hongera Sana kwa kuonyesha Uzalendo,Huko ndiko maisha yalipo,NIKE,Microsoft,Boeing. Munakunywa maji bomba moja na tajiri wa dunia, Bill Gate :) Musiwe wachoya tuma hata nyumbani

    ReplyDelete
  4. Ankal mimi ni kajambo ingawa kako tofauti kidogo na topic hapa. Kajambokenyewe ni UANDISHI wa maneno fulani yenye R na L mfano "akibadirishana", n.k. Kusema la ukweli kwa kuongea ni kawaida kukosea hayo maneno kwani lugha zetu za awali zimetushika sana! Ila kwa kuandika jamani! Hi hapana! Tumefundishwa kuumba herufi na kuziandika vyema jamani! tusiandike kama tunaongea. Thanks

    ReplyDelete
  5. Hey nafurahi sana kuona Baba mudogo Alex kashiliki Uhuru hapo Portland, salimia wadogo zetu :) I miss Seattle, Tunawaombea Baraka tele.

    Huyo Anon anayetaka kurekebisha lugha nafasi za kazi zipo hapa UDSM idara ya Kiswahili we tuma CV yako

    ReplyDelete
  6. We anony wa pili hapo juu unafikiri kila mtanzania anataka kuzamia Marekani kama wewe. Kwani ukitumia lugha ya kistaarabu jibu lako halitasomeka. Sweta zuri lina nembo ya Taifa mtu kalipenda badala ya kumuelekeza jinsi ya kulipata unamtukana. Kweli ubinadamu kazi.

    ReplyDelete
  7. Mdau Evans wa University of Oregon upo juu na Ahsante kwa kuitoa kimasomaso Tanzania kwa kuvaa mavazi yake!!!....

    Tumempa maneno yake ndugu yako Dj Rama wa Germany ambaye yeye hayupo Marekani yupo Ujerumani lakini anavaa kofia yenye nembo ya NY (New York) ktk Maadhimisho wa Uhuru wa Tanzania!

    ReplyDelete
  8. Big up Evans Mdau wa University of Oregon, umeonyesha mwamko na uzalendo kwa kuipaisha Tanzania huko Marekani kwa lebo yake!

    ReplyDelete
  9. Watu kama Mdau Evans wa University of Oregon ndiyo Rasilimali Watu yenyewe na ndio watu tunao wahesabu kuwa hazina ya nchi...!!!

    Hongera kwa kuirusha NEMBO ya Tanzania!.

    Wengi wa Wabongo hapa wanababaika na nchi za nje na walio nje wanababaika sana na huko ugenini na kusahau kabisa nyumbani hata kwa promo ndogo ndogo tu!

    Pana mwenzio wa nchi nyingine amesahihishwa kwa kuvaa NY ktk sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania akatokea mjinga mwingine akasema mbona hata Prof. J wa Bongo Fleva amevaa na ni Mbongo?

    Sawa hata Prof. J anaweza vaa kimakosa pia tena yeye ndio wa kusahihishwa kwa kuwa ni kioo cha jamii!

    Mtu anayekuwa mbali na nyumbani Tanzania lakini kiroho yupo nyumbani nasi ndiyo wa kumwangalia, kwa kuwa nia ya mtu inatokea ktk nafsi na moyo wake!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...