Afisa uhusiano wa Airtel Tanzania Dangio Kaniki (kushoto) akimkabidhi moja kati ya washindi wa promosheni ya Mzuka wa Airtel bwana Yusuf Semi Samsung Tablet baada kuibuka mshindi wa wiki ya kwanza ya promosheni hiyo ambapo wateja mbalimbali wa Airtel wanapata nafasi ya kujishindia zawadi kabambe ikiwemo simu,ipad, muda wa maongezi na pesa tathilimu.
Afisa uhusiano wa Airtel Tanzania Dangio Kaniki (kushoto) akimkabidhi moja kati ya washindi wa promosheni ya Mzuka wa Airtel bwana Murtaza Aliraza Samsung Tablet baada kuibuka mshindi wa wiki ya kwanza ya promosheni hiyo ambapo wateja mbalimbali wa Airtel wanapata nafasi ya kujishindia zawadi kabambe ikiwemo simu,ipad, muda wa maongezi na pesa tathilimu.
Baadhi ya washindi wa promosheni ya Mzuka wa Airtel wakiwa na zawadi zao aina ya Sumsung Tablets mara baada ya kuibuka washindi na kukabidhiwa zawadi hizo katika makao makuu ya Airtel Tanzania,pamoja nao pichani ni mwakilishi wa Airtel (wa pili kushoto) Afisa uhusiano Dangio Kaniki akifurahia kwa pamoja ushindi kwa wateja hao.


Kaka huyo Dangio vipi huyo unaweza kuwasiliana nae nikampige lanci kidogo? Nimemzimikia kishe*zy.
ReplyDeleteTafadhali wasiliana nae kisha nitaarifu kasemaje please
Eee Bwana Michuzi hii picha ya chini kabisa hapa, huyo wa kulia kabisa ni Kaka yako? Mbona mmefanana nae sana!?!
ReplyDeleteAu mmeShea Baba?