Managing Director of MNet Africa, Ms Biola Alabi, answering questions from Kenyan and Tanzanian film producers during an Africa Magic Forum held this Thursday at the Serena in Dar es Salaam aimed at sharpening their skills.
Home
Unlabelled
Africa Magic Forum for Kenyan and Tanzanian film producers
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hebu Watanzania tuchangamke na tuwe pro-active kama wenzetu Wakenya. Ukitazama clips za muziki katika channel ya Africa Magic Swahili, utaona kuwa 90% ya clips zinatoka Kenya. Tusiwalaumu Wakenya kwa kusema Kilimanjaro iko Kenya (of course unauona kutoka Kenya), tujilaumu sisi wenyewe kwa kushindwa kusema kuwa Kilimanjaro iko Tanzania. Shime! Kumekucha!
ReplyDeleteswala la clips kutoka Kenya unaweza ukalielezea kutokana na hulka ya Wakenya (nepotism by nature) wanajua kimuziki wako nyuma ya tanzania kwahiyo wanachofanya ni kuuweka muziki wao mbele wakiwa na madhumuni ya kuupiku wa Tanzania! Cha kufanya Multichoice Tanzania ipiganie pia Watanzania wapewe nafasi za Utangazaji huko! Juzi hapa nimeona channel yao ya Kiswahili ina Wakenya woote kama representatives nikajiuliza sisi tunafanya nini hata tushindwe kupata nafasi hiyo ya MNET swahili channel?
ReplyDelete