Home
Unlabelled
Biasahara na Malezi vyote vinafanyika kwa wakati mmoja
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
of coz anajaribu kusurvive ila ni hatari kwa mtoto
ReplyDeletetatizo linaweza kutokea hiyo meza ikamuumiza mwanae... ila Mungu ni muweza kila mara anawalinda watoto wa namna hii.
Nice pic. Shows how mama zetu walitulea kwa shida na upendo. no babysitter kama mtoni wala nn. Usalama wa mtoto hapo chini anajua mungu. But its a true and great love frm our mothers.
ReplyDeleteMuheshimu sana mwanamke, hata kama ni msichana tu.
ReplyDeleteThe best picture, I love it, if it will be in a country I am living that child may be taken away from her to child protection services. That woman love her child, God bless them.
ReplyDeletejamaniiiii. mtoto atakuja kuwa na shamba kubwa sana la nyanya.
ReplyDeleteHali hii ya maisha inasikitisha sana kwa mwanamke wa kawaida huku akijaribu kukidhi maisha ya kila siku.
ReplyDeletemdau hapo juu uliyesema "no babysitter kama mtoni",labda ungesema kama kwa wabongo wa mijini na wenye uwezo wao, mtoni wanaoafford mababysitter ni wenye hela zao za ukweli wachache na sio wazamiaji. Ukibisha poa lakini ukweli ndio huo.
ReplyDeleteWhen I saw that pic, I immediately picke up the phone and called my mom just to say thankyou,she responded "you're welcome" I mesured my mom in a different standard ever since.What a reminder.God bless our moms
ReplyDeletepanya, nyoka wakitokea hapo chini ni hatari!!!
ReplyDeleteWewe wacha kabisa huyo mama anamtengeneza mfanya biashara mkubwa mno. Anaanzia chini ya meza, soon atasimama kwa kutumia hiyo meza, then juu ya meza, then , the, the, ............ Great man lying under the tomato table. Love my mama and all women no matter what they are doing and where they are. L
ReplyDeleteHaya...
ReplyDeletehuyu mama mwenyezi mungu amjaalie ruzuku na amlinde mtoto wake na mama huyu amjaalie na kumuezesha kumpa elimu nzuri watoto wake wote.
Pili ..inaonyesha dhahir kama wanawake wanapata shida sana,kwasababu wanaume wengi hawajali maisha ya mtoto kama kina mama.Inawezekana baba mtu amekwenda kutafuta kivyake maana maisha ni kusaidiana.God knows!!
Kama wananchi wote tutajituma kwa nguvu zote kama afanyavo mama huyu basi tungekuwa mbali.Nachukia sana nikipita nje ya vilabu mchana kweupee na kuona watu wanashindana kujaza ulevi mezani bila kujali maisha.Mtu huyohuyo analalamika maisha ni magumu hana hela mfukoni hata ya kujitibu.Haijulikani kazi anafanya wakati gani isipokuwa atahangaikia hela ya kwenda kujirusha tu.
Picha nzuri hii na inaonyesha mifano mingi na ya msingi sana ambayo yanapaswa kuyazingatia.Halafu na nyinyi maafande nawaombeni muwaonee huruma watu kama hawa sio mnawavamia na kuwanyang'anya mali zao na kujifanya mmetumwa na manispaa.
huyo dogo hapo chini anakula vumbi kichizi hasa akikutana na wanaoburuza ndala kama mimi. Mnasifu nini wadau?
ReplyDeletehata ngatwa na nyoka wala panya wala chochote malaika wa ulinzi wa majeshi ya ardhini watamlinda huyo na atakuja kuwa na uelewa mpana sana.
ReplyDeleteAnayesema dogo anakula vumbi ulitaka amuachie nani nyumbani na familia ile nini. Usijiwazie wewe mwenye uwezo wa kuweka dada wa kazi, ulitaka amuache nyumbani na nani? Mwanamke ni kiboko inanitia uchungu sana kuona anavyohangaika kwa ajili ya maisha
ReplyDeleteDogo hapo chini ndiye anayevuta wateja ili waje kwa wingi,akimuacha nyumbani mtoto huyo mama hatouza siku nzima.
ReplyDeleteTue Jan 03, 01:04:00 AM 2012 Siwezi bisha mkuu ni ukweli na we all proud of our mamas. No matter ana uwezo gani na mazingira gani they will die for us.
ReplyDeleteNakumbuka tulikuwa kijijini somewhere around Kilosa joka kubwa liliingia chumbani kwetu kula kuku waliokuwa wakilala chini ya kitanda. MAma alibeba fimbo kubwa akaliua. Before kuliua alitubeba wote bila kuliogopa joka akatutoa nje. Mama zetu ni dhahabu.
anonymous was jan 03, 01;04;00AM 2012 umenivunja mbavu. Iam a mother of 3 kids na trust me ningefanya hivyo hivyo there is something about this kwamba upo tayari kufa lakini watoto wako wapone. Siku moja bwana mzee alirudi nyumbani late kutoka safari na sikuwa na taarifa basi niliposikia mlango tu umefunguliwa niliruka kitandani nikamchukua mtoto wangu mchanga nikampeleka bafu nikafunga halafu ndiyo nikarudi kukaa tayari kwa huyo atakayeingia. It was so funny baadaye nikajiuliza how and why did i think of doing that from a deep sleep? Mama zetu jamani tuwaheshimu na kuwapenda this 2012 kwa yeyote mwenye beef na mama yako please think twice angalia hii picha na nenda kamwangukie miguuni na make it up tofauti zozote ulizonazo. Heri ya mwaka mpya. YOU MADE MY DAY MICHUZI
ReplyDeleteHiyo ndio taswira na hali halisi ya maisha ya Mtanzania!
ReplyDeleteMama anawajibika kuwa na mwanae hadi ktk shughuli zake kwa vile hakuna uwezo wa kupata msaidizi huku hali yake kishughuli ikiwa ni ya kubahatisha maisha tu!