Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe,Mhe. Balozi Adadi Rajab akishereheka na watanzania wakati sherehe ya kuukaribisha mwaka mpya Usiku wa kuamkia tarehe 1 Januari 2012, Jumuiya ya Watanzania, maafisa wa Ubalozi pamoja na waalikwa kutoka Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki pamoja na Balozi wa Malawi na Balozi wa Ethiopia nchini Zimbabwe walihudhuria hafla hiyo ya kukaribisha mwaka mpya.
Mhe. Balozi Adadi (kushoto) akiteta jambo na wageni wake ambao ni Balozi wa Malawi na Balozi wa Ethiopia.
Watanzania na waalikwa wengine wakipata chakula sambamba na kuukaribisha mwaka mpya.
Jamaaa kapewa kiduchu nini?
ReplyDeletepicha ya mwisho ustaadhi anauliza hii kuku ni halali au
ReplyDeleteduuh Harold lyimo jamani?
ReplyDeleteDuhh Zimbabwe!
ReplyDeleteNamna gani huko bado US$ 1 ni sawa na gunia mbili za NOTI?