Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
This is a good one. Think also about a Swahili version of this advert. I think/guess many people, including myself, have got most (if not all) of this kind of stuffs and do not know where to dispose them!!!
ReplyDeleteGood luck
David V
then tuki donate mnapeleka wapi?
ReplyDeletezitakaa nchini au zitaenda nje?
na si mtaziuza au?
sema basi sehemu mnazodonate bure tukawaulize?
mkisema mtanunua eehh hapo kama mie sitajali mtafanyia nini
ila eti nilete tu nguo zangu then mkauze?
andikeni more info na nai anabenefit kama nikileta?
mbona website haipo mtandaoni
ReplyDeleteyaani hakuna kwa search hata kwenye url haiji
?????
Zimbabwe wamepiga marufuku mavazi ya ndani yaliyotumika!!
ReplyDeleteNo results found for www.hassanmaarjartrust.org
ReplyDeleteSearch Results
Well done Hassan Maajar!
ReplyDeleteAfter home ware and brick a brack, you gonna move ahead to market garbage and industrial wastes!
This is a fantastic humanity, diversity rather than scientific phenomenon one of its kind in our Tanzania.
What ever is the logic of renewable resources is a key solution for our sustainable environment!
Huyu mtoto Hassan Majaar amekuja na mawazo muhimu sana ya kibinaadamu, kihali na kisayansi!
ReplyDeleteNi muhimu kuchagiza maangamizo na uzungushaji wa masalia ya bidhaa na vitu hata kama sio kwa matumizi tena bali kwa kuyaweka katika hali isiyokuwa hatarishi kwa mazingira yetu!
Zaidi ya vitu kama nguo ,viatu, mifuko makaratasi na vitabu pana hitajio kubwa katika taka za masokoni, katika karakana na viwandani kufanyiwa utaratibu huu.
Sio kwamba akikusanya ni lazima auze baada ya kuvizungusha kama Wadau wavyouliza hapo juu, anaweza hata kutoa michango kama anavyoeleza ''A desk for every child'' kumpatia kila mtoto dawati!.