Bondia Mohamedi Matumla akishangilia ushindi baada ya kutangazwa bingwa kwa kumchapa Bondia mwenzake Cosmas Cheka
Bondia Rashid Matumla (kushoto) akimpa mawaidha mwanae wa kwanza Mohamed Matumla wakati wa mpambano wake na Cosmas Cheka kulia ni Mbwana Matumla akimkandakanda.
Bondia Cosmas Cheka na Mohamed Matumla wakioneshana ufundi wa kurusha masumbwi wakati wa mchezo wao uliofanyika uwanja wa Jamuhili Morogoro jana Matumla walishinda kwa pointi.Picha na Super D Blog.
Jamani hii noma, huyo refa (katikati)kavaa gloves za hospital, hii ndo kibongobongo nini?
ReplyDelete