Wafanyakazi wa Galileo Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya hafla ya uzinduzi wa huduma yao mpya ambayo inamuwezesha wakala wa kuuza tiketi za ndege kuuza tiketi kwa urahisi zaidi,uliofanyika kwenye ukumbi wa J.B Belmonte Selous ,Quality Centre jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Zamani wa Galileo Tanzania,Mwalim Ally akibonyeza kitufe kwenye kompyuta kwa uzinduzi wa huduma mpya inayomuwezesha wakala wa kuuza tiketi za ndege kuuza tiketi kwa urahisi zaidi,uliofanyika kwenye ukumbi wa J.B Belmonte Selous ,Quality Centre jijini Dar es salaam.Wa Pili Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Sasa,Eliasaph Mathew.
Ofisa wa Mafunzo wa Galileo Tanzania,Gloria Urassa akitoa mafunzo ya namna huduma hiyo inavyotumika kwa Baadhi ya Mawakala wa Uuzaji wa tiketi za ndege nchini (Travel Agents) mara baada ya kuzinguliwa kwenye ukumbi wa J.B Belmonte Selous,Quality Centre jijini Dar es salaam hivi karibuni.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...