Hapa Jamaa kaamua kupaki Gari yake kwenye Reli maeneo ya Gerezani huku akiwa hana wasi wasi wowote kana kwamba yupo kwenye sehemu sahihi na yenye usalama kwa gari lake.
Hapa biashara ikiendelea juu ya Reli maeneo ya Buguruni kwa Mnyamani kama Kamera yetu iliyoweza kuwanasa wafanyabiashara hawa mchana wa leo.
Tunashukuru kwa Taarifa nzuri tuzichamkie Wa Tanzania wasije kuvamia wa Nigeria.
ReplyDeleteShukran wadau mliotuletea taarifa.
James Caan
Lewisham Uk
Hapo City hawakamati?
ReplyDeleteKwani kuna shida gani, tereni yenyewe haifanyi kazi, acha wapiga kura wetu wajitafutie riziki bwana. Umeshasikia tatizo lolote au umezoea unoko tu.
ReplyDeletendo Tz. jamani hata nje pale Ikulu wamepanga mitumba wanauza! Tuna upendo sana Tz.
ReplyDeletewafukuze uone, 20115 sio mbali hupati kura wewe na chama chako!
hiyo cha mtoto tu maneno yapo india watu wanafua nguo wanaanika kwenye reli na wengine wanafunga hema wnalala katikati ya reli wakisikia honi ya treni wanasogeza pembeni likipita mambo yale yale.
ReplyDeleteilitaka wafanye nini treni lenyewe linapita msimu hadi msimu kwa mwezi mara moja wanajuwa kabisa siku zake.
mi saioni tatizo, treni zenyewe spidi 10kmh.
ReplyDeleteKUHUSU PICHA YA KWANZA WACHA UONGO HUYO GARI IMEHARIBIKA NA INAONYESHA ANATOKA KWENYE GARI SASA KAEGESHA TU NA KUONGEA NA SIMU IMETOKEA WAPI KWAMBA HANA WASIWASI? YA PILI KAMA MDAU ALIVYOSEMA TRAIN ZENYEWE KAZI HAZIFANYI. WANGETENGENEZA TRAIN NA RELI HIZO WANGEFANYA TRAIN INAFANYA MSAFARI HIZO SEHEMU ZIPAKIE WATU BASI FOLENI NA SHIDA ZA MA BUS ZINGEPUNGUWA USAFIRI RAHISI. KITWANA.
ReplyDelete