Sharoon Maganga One akiwa amepozi baada ya kukata keki na kuzima mishumaa. Anashukuru kwa kufika salama hapo alipo,anawashukuru sana wazazi wake kwa malezi wanayompa.
Ujumbe kwa watoto wenzake ni kwamba: Elimu ndio kila kitu kwa maisha bora na Heshima kwa wazazi ndio msingi pekee wa mafanikio ya maisha.kwa picha kedekede gonga:
Ankal mtoto mzuri na mrembo sana..ninaweza weka order kabisa?naomba msaada na habari hii usipuuze ifawikie Wazazi wake..
ReplyDelete