Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Na "box" likuitikia utawaona wenye kuchonga hapo. Oh! jamaa anajifanya siku hizi, au jamaa mtu wa madude, au si "kirongwe" tu huyo, au .........

    ReplyDelete
  2. piga box kaka, piga box. ila usisahau kusimamisha ibada

    ReplyDelete
  3. who cares ????????

    ReplyDelete
  4. asanteni wajameni wote hapo

    ReplyDelete
  5. Bora hii kuliko kazi za makarani wa benki bongo "wajingawajinga"

    ReplyDelete
  6. I RESPECT PIGABOX I SALUTE PIGABOX
    HESHIMA ZOTE MFANO BORA WA KU JENGA
    TAIFA LAKO NYUMBANI UKIRUDI UNAWEZA FUNGUA COMPANY YAKO KUPIGA BOX KI US
    WATU WATAIGA WAFE

    ReplyDelete
  7. BOX FOR LIFEEEEEEEEEEEEEEEE. ULIPO HAWAWEZI KUFIKA KIURAHISI WAKITAKA. LAKINI WALIPO WAO UKITAKA KUWEPO UNAKWENDA KIULAINI. WALIVONAVO UNAWEZA KUVIPATA LAKINI ULICHONACHO WEWE HAWAWEZI KUKIPATA KIURAHISI. BOX IS THE KEY TO BETTER FUTURE YA WATOTO WAKO. NASIO UTAJIRI WA MIAKA 5 AU KUMI THEN MTU CHALI.

    ReplyDelete
  8. Ahsante kwa Salaam hizi na Hongeara sana Wandugu PIGA BOX ndani ya WASHINGTON-DC!

    Mmetutoa kimaso maso Wa Tanzania kwa kujitegemea kwenu ktk kazi, kwa vile imezoeleka sisi kuwa na kazi za kiutumwa Ughaibuni!

    ReplyDelete
  9. ...mbona mwajitetea sana na mabox yenu...nani kawauliza...loh! Sijui ndio kipofu kaona mwezi!!! Watu tumetulia bongo na kama mihela tunayo na maisha tunaponda vilevile...kah..acheni ushamba bhana! box...box...! Msiwe kama wajinga wajinga...!

    ReplyDelete
  10. Anonymous wa Fri Jan 06, 09:38:00 AM 2012

    ...mbona mwajitetea sana na mabox yenu...

    Wewe kazi nyingi za Bongo ni za kimsala msala (wizi, ufisadi,mipango mipango,madawa, ukwepaji kodi, mazishi na mengineyo)...BONGO HAPA VUNWI PESA SAFI ,NYINGI NI CHAFU!...sio halali kama wanavyopiga ma box ndugu zetu wanachuma halali za jasho zao!

    Angalia Bongo mipango mingi unakuta ofisi zipo mikononi ktk makabrasha!, na ktk simu za mikononi!

    Bongo ufisadi na wizi ni njia kuu za uchumaji sio ujanja huu, kitu ambacho ni hatari sana!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...