Rais Jakaya Kikwete akipokea mapendekezo ya chama cha NCCR-MAGEUZI kuhusu mchakato wa Katiba toka kwa Mwenyekiti wa chama hicho Mh James Mbatia leo alipokutana na uongozi wa chama hicho Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Kikwete akiongea na uongozi wa NCCR-MAGEUZI
Mkuu wa Idara ya Katiba na Sheria wa Chama cha NCCR - Mageuzi, Dk. Sengondo Mvungi akisoma mapendekezo ya chama hicho juu ya mchakato wa katiba.
Rais Jakaya Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa NCCR MAGEUZI Mh James Mbatia
Rais Jakaya Kikwete akiagana na Viongozi wa NCCR-MAGEUZI mara baada ya picha ya pamoja.Picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ukilinganisha hizi timu mbili zilizoenda ikulu (NCCR na CHADEMA) picha zinatoa jibu tosha kwamba CHADEMA walienda kazini. NCCR kuuza sura.Mbatia kama mwenyekiti wa chama hana hata kipande cha karatasi angalau kuchukua notes, kila kitu wanamtegemea Dr. Mvungi. Wakati CHADEMA (refer picha za chadema ikulu) wote wako busy na makabrasha yao.Maana yake hakuna kudanganyana.

    ReplyDelete
  2. duh! hapo umenena hawa wanaiga tu,sijui cuf nao wataenda lini!

    ReplyDelete
  3. Nyie hapo dont be slly. Tweets!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...