Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Marehemu Jeremiah Sumari ukiwasili viwanja vya ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo tayari kwa kupewa heshima za mwisho. Rais Kikwete ndiye ameongoza hafla hii iliyohudhuriwa na mamia ya waombolezaji na wanachama wa vyama vyote vya siasa.
Picha zaidi baadaye kidogo..
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...