Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge inashughulikia Katiba,Sheria na Utawala,Mh. Pindi Chana (aliesimama) akiongea na wananchi wa Kijiji cha Ikwiriri Wilayani Rufiji mkoni Pwani wakati kamati yake ilipo kuwa inakagua mradi wa shule inayo gharamiwa na TASAF.
Waziri wa Nchi,Sera Ofisi ya Rais,Mh. Steven Wasira akisoma hotuba ya ufunguzi wa semina kwa Kamati ya Bunge,Katiba,Sheria na Utawala ambayo iliandaliwa na mfuko wa mendeleo ya jamii iliyo chini ya Ofisi ya Rais (TASAF).kushoto ni Mwenyekiti wa kamati hiyo,Mh. Pindi Chana na kulia ni Makamu wake semina hiyo ilifanyikia jijini dar picha na chris mfinanga.
Mkurugenzi mkuu wa tasaf,Ladislaus Mwamanga akiongoza kamati ya bunge kutembelea mradi wa shule iliyo gharamiwa na tasaf katika wilaya ya mkuranag mkoani pwani.
Wakina mama wajasiriamali ambao wamesaidiwa na mfuko wa mendeleo ya jamii (TASAF) fedha za kujiendeleza kwa njia ya mkopo wakiwa na mabox ambayo hutumia kwa kuhifdhia fedha.kikundi hicho kipo kwenye kijiji cha Ikwiriri wilayani rufiji mkoa wa pwani.Picha na Chris Mfinanga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Haya ngonjera za katiba mpya zimeanza....ole wake atakayekosoa. Ni kusifu na kuunga mkono tu basi...

    ReplyDelete
  2. Hizo fedha gani za kuhifadhi kwenye maboxi tena makubwa hivyo?

    ReplyDelete
  3. KUMBE STEPHEN WASIRA YUPO RUFIJI NDIO MAANA THIS TIME HAYUPO SEBULENI KWA KIKWETE KWENYE MJADALO WA KATIBA...TEHE TEHE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...