Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. hii huwa naisikia hata Clouds fm, ni wazo zuri sana, nitawatafuta wahusika ili wanipe terms and conditions.

    ReplyDelete
  2. Hongereni wazee wa Arusha kwa kuanza mwaka kwa kuondoa mafuta ya MBUZI miguuni big up machalii wangu!

    ReplyDelete
  3. Mmasai kaingia disko!...

    ReplyDelete
  4. hilo bonanza linaanza saa ngapi?

    ReplyDelete
  5. Duu!Masai camp?

    ReplyDelete
  6. SAFIIII MACHALII!

    ReplyDelete
  7. i like that trade mark!...kitambi noma tetetetete!

    ReplyDelete
  8. KITAMBI NOMA BONANZA:

    azma ya hili suala ni nzuri sana isipokuwa Wadau wenyewe wenye kupunguzwa hivyo vitambi wanakwenda nje ya masharti.

    Mazoezi pekee na uhsiriki wa Michezo hayawezi kusaidia ikiwa mtu ataendeleza hulka zake katika suala zima la lishe na matumizi matumizi, Mfano unakuta mtu anafanya mazoezi laikini mwenendo wake wa LISHE upo pale pale, kama:

    1.Baada ya Mazoezi au Michezo , mtu anarudi nyumbani mbio mbio anakuwa mkali kama pili pili anaagiza Mchemsho, Maini rosti au Supu bonge la bakuli na minyama kibao na mafuta, pembeni , bakuli la mtori na chapati nne au zaidi, jagi zima za juisi,,,enhh!

    2.Akimaliza anawahi katika jokofu /friji anachukua chupa ya bia moja ama mbili tatu kupu kupu, kupu anazifakamia anamaliza!

    Sasa hapo ni Asubuhi hiyo ndio ametoka mazoezini au Michezoni, bado Mchana akiwa kazini na Jioni akirudi anapitia Baa au Pub ya karibu anaagiza mguu mzima wa Mbuzi nyama choma!

    Sasa kwa mtaji huo mtu atapunguza kitambi?,KITAMBI NOMA ITAFANYA KAZI KWELI?

    ReplyDelete
  9. Kaka unaua kabisaaaa!! tetetetete! wanakula kama viwavi jeshi? kazeni buti ndugu wakitambi noma hasa mkizingatia huo ushauri wa huyo ndugu!mambo yenu yatakuwa BILOKO sana!

    ReplyDelete
  10. Afazali arifu wangu yaani man arusha kuna bonanza moja ani!lile la wazee klabu ni mafogo tu ati! acha tuje huko man!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...