Wabunge 11 na Afisa wa Bunge 1 waliotokea nyumbani Tanzania na kuja UK kwa Mualiko wa Commonwealth parliamentarians Group (CPA) walikaribisha chakula cha jioni na Mama Joyce Kallaghe Mke wa Balozi wa Uingereza akiwa na Viongozi wa Chama cha TA na TAWA nyumbani kwake Tanzania hao
 
Wabunge hao 11 wote wanawake na ambao miongoni mwao ni Viongozi wa wajumbe wa Tanzania Women Parliamentarians Group (TWPG) ,waliongozwa na Mwenyekiti wa TWPG Mheshimiwa Mama Anna Abdalla MP, na wakiwemo Mh.Susan Lyimo MP, Mh. Magdalena  h. Sakaya (MP) , Mh. Angela Kairuki (MP), Mh. Esther matiko (MP, Mh. Beatrice Shelukindo (MP), Mh. Riziki Omari Juma (MP), Mh. Namalek Sokoine (MP), Mh . Faharia Hamisi (MP) ,Mh. Al-Shaymaa J. Kwegyir (MP), Mh. Agripina Z Buyogera (MP) na Afisa wa Bunge Mrs Justina Shauri.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...