Rais wa muungano wa vilabu vya waandishi wa habari nchini(UTPC) Keneth Simbaya akizungumza na wajumbe wa kamati tendaji ya klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Kilimanjaro MECKI katika ziara binafsi alipotembelea ofisi ya klabu hiyo.
Mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Kilimanjaro Hilda Kileo akitoa taarifa ya klabu kwa Rais wa UTPC Kenneth Simbaya.
Kaimu katibu mkuu wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Kilimanjaro nakajumo James akitoa neno la utambulisho kwa Rais wa UTPC Kenneth Simbaya.
Rais wa muungano wa vilabu vya waandishi wa habari nchini(UTPC) Keneth Simbaya akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya waandishi wa habaro mkoa wa Kilimanjaro(MECKI).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...