Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi,Mussa Aboud Jumbe,akimueleza Rais wa Zazibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,Malengo na madhumuni ,katika sherehe za uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu a Wizara ya Mifugo na Uvuvi Pemba,katika kijiji cha Weni,Wilaya ya Wete Mkoa wa Kasakazini Pemba,baada ya kulizindua rasmi sambamba na maadhimisho ya miaka 48 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Shein,akiwapungia mkono wananchi wakati alipowasili katika viwanja vya Jengo la Makao Makuu ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi Weni Pemba, kulizindua rasmi jengo hilo, lililojengwa kwa msaada wa Benki ya Dunia ,ikiwa ni katika shamara shamra za maadhimisho ya miaka 48 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Noana Zenji wanaanza kuwaelewa CHADEMA maana hata kimavazi naona wanaelekea huko huko. Karibu kwenye chama makini.
ReplyDeleteShein kapiga GWANDAZ!!! LOL
ReplyDeletecha kushangaza jengo pengine hela kibao hata rangi zimepigwa kihuni huni basi hakuna hata bustani? au hakuna wajuzi huko jamani?
ReplyDelete