Home
Unlabelled
salamu za Xmas na mwaka mpya toka ughaibuni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Na "box" likuitikia utawaona wenye kuchonga hapo. Oh! jamaa anajifanya siku hizi, au jamaa mtu wa madude, au si "kirongwe" tu huyo, au .........
ReplyDeletepiga box kaka, piga box. ila usisahau kusimamisha ibada
ReplyDeletewho cares ????????
ReplyDeleteasanteni wajameni wote hapo
ReplyDeleteBora hii kuliko kazi za makarani wa benki bongo "wajingawajinga"
ReplyDeleteI RESPECT PIGABOX I SALUTE PIGABOX
ReplyDeleteHESHIMA ZOTE MFANO BORA WA KU JENGA
TAIFA LAKO NYUMBANI UKIRUDI UNAWEZA FUNGUA COMPANY YAKO KUPIGA BOX KI US
WATU WATAIGA WAFE
BOX FOR LIFEEEEEEEEEEEEEEEE. ULIPO HAWAWEZI KUFIKA KIURAHISI WAKITAKA. LAKINI WALIPO WAO UKITAKA KUWEPO UNAKWENDA KIULAINI. WALIVONAVO UNAWEZA KUVIPATA LAKINI ULICHONACHO WEWE HAWAWEZI KUKIPATA KIURAHISI. BOX IS THE KEY TO BETTER FUTURE YA WATOTO WAKO. NASIO UTAJIRI WA MIAKA 5 AU KUMI THEN MTU CHALI.
ReplyDeleteAhsante kwa Salaam hizi na Hongeara sana Wandugu PIGA BOX ndani ya WASHINGTON-DC!
ReplyDeleteMmetutoa kimaso maso Wa Tanzania kwa kujitegemea kwenu ktk kazi, kwa vile imezoeleka sisi kuwa na kazi za kiutumwa Ughaibuni!
...mbona mwajitetea sana na mabox yenu...nani kawauliza...loh! Sijui ndio kipofu kaona mwezi!!! Watu tumetulia bongo na kama mihela tunayo na maisha tunaponda vilevile...kah..acheni ushamba bhana! box...box...! Msiwe kama wajinga wajinga...!
ReplyDeleteAnonymous wa Fri Jan 06, 09:38:00 AM 2012
ReplyDelete...mbona mwajitetea sana na mabox yenu...
Wewe kazi nyingi za Bongo ni za kimsala msala (wizi, ufisadi,mipango mipango,madawa, ukwepaji kodi, mazishi na mengineyo)...BONGO HAPA VUNWI PESA SAFI ,NYINGI NI CHAFU!...sio halali kama wanavyopiga ma box ndugu zetu wanachuma halali za jasho zao!
Angalia Bongo mipango mingi unakuta ofisi zipo mikononi ktk makabrasha!, na ktk simu za mikononi!
Bongo ufisadi na wizi ni njia kuu za uchumaji sio ujanja huu, kitu ambacho ni hatari sana!