Mgeni rasmi,Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda Biashara na Masoko B. Joyce Mapunjo akizungumza na baadhi ya vyombo vya habari,mara baada ya uzinduzi huo uliofanyika usiku wa kuamkia leo,jijini Dar na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali.
Cheeersss....!Picha zaidi Bofya Hapa.
Why is alcohol promoted so much in Tanzania, every day there is a new brand in the market, sponsoring sport etc, something needs to be done about this, alcohol abuse etc is a huge cost to the community. These alcohol companies should be paying for the upgrades and construction of new hospitals and medical facilities
ReplyDeleteJamani hakuna wa kumwambia Mama Mapunjo kuwa hizo kamba kwenye miwani hazimpi muonekano unaofaa? Au ni hiyo dhahabu nataka zionekane? Maana anajulikana kwa kupenda dhahabu.
ReplyDelete