Home
Unlabelled
SEHEMU YA VIKWANGUA ANGA VYA JIJI LA DAR LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Minara pacha ya EPA, wengi wamepigwa chini na amefungwa mtu ingawa imetutoa kimasomaso kwa pendezesha Dar!
ReplyDeleteonesha vikwangua anga kariakoo, upanga na jangwani. kila pichs ni ya mjini kati, huku kando ya mji watu eajasiria mali wamejitahidi. .
ReplyDeleteVikwangua anaga vipi lakini nenda chini uone barabara! Utakimbia! Bongo tambarare!
ReplyDeleteKumependeza ila uchafu unabaki palepale na we are the last country in east africa when it comes to uchafu kuzagaa hovyo mjini. The city looks clean but it's sad that we have that tittle ya jiji chafu east africa.
ReplyDeleteAhhh Mandhari nzuri ya majengo Dar, huyo aliyefungwa muda mreefu alishatoka,,,hahahaha unanichekesha eti nini? amefungwa?
ReplyDeletetoka lini ktk dunia hii mzee wa mnemba akafungwa?, hata huko Italy licha ya upuku puku wa tuhuma na kesi dhidi yake unafikiri mzee wa mnemba Silvio Berlusconi atafungwa?
Huyu wa Bongo yule Mzee wa Matalimbo wala hakufungwa kihivyo alikuwa mapumziko tu ya kimtindo!
Hakuna kikwangua anga kipya hapo zaidi ya BOt Towers. hiyo NIC, IPS majengoya zamani sana. Weka vitu vipya huko K/KOO, Upanga, nknk
ReplyDeleteAnkali Michuzi umenikumbusha mambo ya mafisadi hebu nikumbushe kitu kingine hivi ile habari ya RIZI-JK kumpeleka mahakamani Dk. Slaa kwa mambo ya mrengo hu wa shutuma za kifisadi yaliishia wapi. Just looking for update wananchi tunasahau mapema sana.
ReplyDeleteMdau wa nne, statement yako inamaanisha we are the cleanest of all east african countries, is that what you meant to say? Hii ni info muhimu, pls clarify na utuambie na chanzo chake.
ReplyDeleteNa nyinyi huko ughaibuni si mnapiga picha mbele ya Hummer ambazo sio zenu!!
ReplyDeletekaka michuzi ntawezaje kuipata hii picha walau niwaonyeshe hawa wenzetu wanaoamini afrika ni nchi moja na tunaishi ktk nyumba za nyasi tuna njaa siku zote na hatuna miundo mbinu yoyote.if possible naomba hii page iwe wazi niweze kuidownload ingawa ww ndio una hati miliki lakini kwa ruhusa yako naomba kurudufu ntakuwa sijakuvunjia haki yako,mdau wako NORWAY.
ReplyDeletePICHA HII MAANAKE NINI? SIJAFAHAMU. SIFA AU NINI? TUNASIFU NINI? WAPEMBA WANA MSEMO "usihadaiwe na rangi utamu wa chai sukari" BADALA YA MAJENGO TUJINATE NA VILIVYOMO NDANI YA MJI, AU SIO WADAU? Mndengereko
ReplyDeleteMdau wa pili hapo juu Magorofa ya KARIAKOO mengi viwango chini,
ReplyDeleteUsanifi duni pia, hayajakaa na mvuto!
Unakuta ujenzi unaendelea mfuko mmoja wa simenti karai 40 za mchanga ebo!
Wamejenga kiswahili na kibahili saana, mengi yana nyufa na yanaanguka yenyewe!
Maghorofa ya Kariakoo na utata wake ktk ujenzi, we acha tuu la msingi tumuombe Mwenyezi Mungu atuepushe na balaa.
ReplyDeleteMuda wowote lolote laweza kutokea!
Kabla ya kujenga vikwangua anga, miundo mbinu chini idumishwe, barabara, sewage systems n.k. Mafuriko yaliyopita ni dhahiri kuwa hakuna vipaumbele katika kuboreshwa mambo hayo ya msingi.
ReplyDeletenchi za jirani ni bora kulikoni hata tz. nchi kama sudan ina vita vya miaka mingi na vikwazo imepiga maendeleo makubwa.Utaona kichekezo lakini tutembee tujionee.
ReplyDeletehuyo jamaa wa hapo juu aliyesema tuliopo nje ya Tz tunapiga picha za hummer sio za kwetu yeye ameona hummer ndio gari nenda shule ndugu yangu ujue gari gani la gharama duniani uacha ushamba hummer sio gari !!!1
ReplyDeleteStill, Dar is the last city in east africa for uchafu. someni The east African Standard, takwimu zote zinaonyesha jinsi dar ilivyo chafu and it's true. The city is filthy dirty.
ReplyDeleteni kweli hapo hakuna kikwangua anga kipya zaidi ya twin towers. inashangaza wakati kuna vingine vimeongezeka hapohapo mjini k.v Golden Jubilee building, Mkapa towers, etc tuonjesheni na hayo plz
ReplyDelete