Inspekta Haroun na Luteni Karama wakishambulia jukwaa
 Profesa J akipagawasha
 Dar Live Boeing
Mzee Yusuf na Banza Stone na wacheza shoo wa Extra Bongo kazini
Kwa mapicha kedekede ya tukio hili

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Wazee wamestuka siku hizi watoto wao wa kike hawawaruhusu kujirusha. Ukiangalia hizo picha madume matupu!!

    ReplyDelete
  2. ishu mbagala ustaarabu sifuri, maadamu siku hazigandi ngoja tusubiri kwanza.

    ReplyDelete
  3. interesting!!!

    ReplyDelete
  4. Wewe Mdau wa pili hapo juu Anonymous Tue Jan 03,09:54:00AM 2012

    Ndio ninyi mnao ishusha Mbagala kila uchao,

    Watu wenye mtazamo kama wako ni hatari sana ktk maisha ya jamii na watu!

    NILIWAHI KUMSIKIA MUONGEAJI MADA WA KIPINDI KTK RADIO, KIPINDI KILIKUWA KINAHUSU ''PERSONAL MANAGEMENT'' yaani ''UONGOZAJI WA MTU MWENYEWE BINAFSI''

    MSEMAJI ALITAHADHARISHA SANA KUWA NA MAUNGANIKO NA MTU MMOJA ANAITWA ''BWANA HAIWEZEKANI'' au ''MR IMPOSSIBLE''

    Yaani ni kuwa mtu huyo ni mkatishaji tamaa, kila kitu haiwezekani, Ukitaka kufanya hiki anakwambia ohhh utashindwa,,, hana hata mara moja atakwambia utaweza!

    NDIO WATU WA NAMNA HII AKISIKIA TU:

    -MCHAGGA ATAKWAMBIA OHHH ANAPENDA PESA!
    -KABILA LAKE KATOKA TANGA OHHH MCHAWI !
    -KABILA LAKE MGOGO OHHH OMBA OMBA!

    NANI ALIKWAMBIA KILA MTU WA KABILA HILO WASIFU WAKE NI HUO?

    WEWE MWENYEWE UMESEMA SIKU HAZIGANDI, JE KAMA WATU WA MBAGALA WALIKUWA NA KASORO WATABAKI VILEVILE TU?,,,HAWABADILIKI?, HAWAJIFUNZI KWA WENGINE?

    JE KWA NINI MDAU AMEULETA MPANGO HUU DAR LIVE UWEPO MBAGALA?...KWA NINI ASIWEKE SINZA AU TABATA?,,,AU MASAKI?...WAKATI AKIWA NA AKILI ZAKE TIMAMU HAKULIJUWA HILO LA USTAARABU WA WATU WA MBAGALA?

    JE, WEWE UNA AKILI ZAIDI YA MDAU ALIYETUMIA PESA YAKE KUWEKEZA HAPO?

    SASA HUYO ALIYEKWAMBIA KUWA MBAGALA NI SEHEMU ISIYOWEZA KUWA NA WASTAARABU NI NANI?

    ReplyDelete
  5. Watu wengine kwa wivu na dharau khaaa,,,!!!

    Kusikia DAR LIVE ipo Mbagala tayari imewachoma!...ohh hakuna wastaarabu!

    Sasa wewe ulitaka iwekwe wapi?

    ReplyDelete
  6. mbona watoto wenyewe wanaopanda haya magari ni wakubwa, si watayavunja? Mbagala bwana pale ni noma kuishi mtu, ustaarbu pale yaani ni ziro tu na sitashangaa kuona bembeya na magari yametapakaa mavi.

    ReplyDelete
  7. Cha msingi ktk KIOTA hiki cha DAR LIVE ni usimamizi wa makini tu!

    Hoja ya kutokuwa na ustaarabu sio kigeso kwa vile mpango kuwepo Mbagala!

    WAKATI UWANJA MPYA WA TAIFA UNAFUNGULIWA NILIWAHI KUONGEA NA MTU MMOJA AMABYE AMEKAA SANA NCHI ZA NJE ULAYA KAMA ITALY, UJERUMANI NA HOLLAND.

    KWA MARA YA KWANZA UWANJA UNATUMIKA MECHI YA TAIFA STARS NA MSUMBIJI PALITOKEA UHARIBIFU MBALIMBALI NDANI YA UWANJA.

    WATU WALITOA MAONI KUWA WASHABIKI WA MPIRA WA TANZANIA SIO WASTAARABU, JAMAA ALIYEKAA ULAYA AKASEMA HAYO SIO HAPA TZ TU HATA HUKO ULAYA MASHABIKI NI WAKOROFI TENA WAHARIBIFU SANA ZAIDI YA HAPA...HUWA INATOKEA WANACHORA KTK KUTA NA KUVUNJA VIOO VYA MADIRISHA NA MILANGO...ISIPOKUWA HUKO KUMEIMARISHWA SANA USIMAMIZI NA PIA MATENGENEZO NA MAREKEBISHO NI MARA KWA MARA!

    ReplyDelete
  8. Nmependa xana wote walioongea labda mmoja tu hapo ndo kachafua kabisa sema ndo hvo kla m2 ana uhuru wa kuongea ila mbagala kuko poa na huo ukorof anaujua yeye tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...