Promota Terry Shomari wa T&J Ent.(kushoto) akiwa na Mdau Raju huko Tabaq Lounge Washington Dc wakati wa mkesha wa kuukaribisha mwaka mpya wa 2012.
Mgosi Mussa ndani ya klab.
Promota Dickson wa DMK akiwa na Merce Ligate.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Hee Dickson mdau wa Kazima Sekondari kumbe uko majuu mwenzetu!

    ReplyDelete
  2. Acheni kuuza sura humu. Kapigeni boksi.

    ReplyDelete
  3. wewe kwani kila mtu anapiga boksi wengine shule tumeenda na tunakazi kama wenyeji wetu,sio kila mtu boksi tu alahaaaaa

    ReplyDelete
  4. Kweli kabisa anonymous wa 02:27:00 PM, waambie hao jamaa wamezidi sana. Nendeni mkapige boksi au vyuoni mkasome shule kama mmeshindwa kupiga boksi badala ya kuuza sura humu kila siku.

    Mambo ya kuuza sura kwenye blog za Michuzi na Vijimambo na kuvaa hereni masikioni siyo "maendeleo" ni ulimbukeni! Hasa huyo Dickson kila siku anauza sura kwenye Vijimambo, wake up man, this is 2012, badilikeni sasa wabongo! Mtanzania yeyote ughaibuni aliye serious huwezi kumkuta akipoteza muda ktk upuuzi huo unaofanya wewe hapo sasa hivi, hayo mambo yalikuwa zamani. Watu wanafanya mambo huko Ma-Harvard na Yale wewe umekalia kukumbatia visichana tu? uchekibob kweli kazi!

    Listen, wake up man! Utakuja ku-regret huu muda unaouchezea sasa hivi I'm telling you.

    Mdau

    ReplyDelete
  5. WEWE MDAU Mon Jan 02, 07:32:00 PM 2012 LAZIMA UTAKUWA UMEPOKONYWA DEMU NA JAMAA,RELAX MAN.LIFE IS SHORT TO LIVE WITH A STRESS AND MISEABLE,WACHE WATU WAJIRUSHE.WEWE NENDA HUKO STANFORD AU HAVARD,WACHE WENZIO WATAFUNE NEEMA.

    ReplyDelete
  6. inahuuu???

    ReplyDelete
  7. weraweraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  8. haters haters 2012 all haters mmeisha pangiwa mji wenu kwa hiyo mnajua nini cha kufanya kaeni pamoja Dogo DMK babu KUBWAAAA the dude with nice shades endelea na mambo zako na huyo Hater anakujua mambo zako BIG UP DMK none stop 2012 run whatever we VOTE 4U

    ReplyDelete
  9. Hangaikeniiii,,,kufeni na tai shingoni mkishindwa Maisha Majuu,,,hatuwezi kuwatupa nyumbani karibuni sana,,,(KIMYA KIMYA) MRUDI NYUMBANI KALIUA-TABORA MJE KUKATA MKAA!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...