Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya FBME tawi la Dar es Salaam waliserebuka wakati wa kuusherehekea mwaka mpya wa 2012 kwenye ufukwe wa Beach Comber,Kunduchi jijini Dar es Salaam.
 Michezo mbali mbali ilichezwa siku hiyo yote hiyo ikiwa ni kuusherehekea mwaka mpya wa 2012,na hapa ni baadhi ya wafanyakazi wa Beki ya FBME tawi la Dar es Salaam wakicheza mchezo wa kukimbiza kuku.
 Meneja wa Benki ya FBME tawi la Dar es Salaam,Haider Mwinyimvua (katikati) akiwa na wafanyakazi wenzake wa benki hiyo wakati wakipata chakula.
Mchezo wa kuvuta kamba pia ulikuwepo na hakuna hata mmoja ambaye hakushiriki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. What idiot bank manager is, with his staff selfish human beings,they should be around kigogo helping people who are facing difficulties with floods,shame on them.

    ReplyDelete
  2. Mbona meneja timu yake imejaa maduu!!

    ReplyDelete
  3. Mbaya mbaya ya kuanza Mwaka 2012: Kufukuza Jogoo ni unyanyansi wa QWanyama bila shaka tabia hii inaweza pia kuonekana kwwenye huduma kwa wateja wenu. Tafutua michezo ya Maana na si kunyanya sa ndege na wanyama

    ReplyDelete
  4. Wewe mdau wa kwanza, kuna filosofia moja katika maisha ambayo huijui, nayo ni "don't deny life" ("usiyakatae maisha" au "usijinyime maisha").

    Unaweza ukasherehekea kwa sababu umepatwa na shida endapo unaona kuwa imekupa somo maishani mwako.

    Pia, elekeza shutuma na matusi yako kwa mamlaka husika na sio kwa kila mwananchi. Unajua watu wangapi bongo wanakula good times wakati huu unapoisoma hii meseji? Wewe umewasaidia kwa lipi? Umbali si ishu.

    Mimi ni mdau tu, sio mfanyakazi wala mteja wa hiyo bank.

    ReplyDelete
  5. Jamani michezo ya kufukuza wanyama mimi naona si sahihi hiyo ni ukatili kwa wanyama, hivi huyo kuku mnajua anawakatigani mgumu moyoni mwake, manake haelewi kinachoendelea anaona hatari tupu. Kuku ni chakula na chakula lazima kiheshimiwe mkamate kiuadilifu akiwa bandani taratibu mweke chini, kwa heshima zote sema bismillah taratiiibu with DIGNITY peleka kisu shingoni kwake kata then mnakuwa mmepata kitoweo kwa ustaharabu sio kufukuzana weeee atacheua nyongo huyo mle mpate madhara shauri yenu. Nimempenda sana huyo toto ya mbele inayovuta kamba.

    ReplyDelete
  6. kaaz kwelkwel! wabongo tukisema michezo basi ndio hilo la ilimbwende, kufukuza kuku na kuvuta kamba. No swimming, no volleyball wala nini. Juzi nilisikia timu ya kupiga kasia (rowing team) uingereza imetengewa 27m pounds for the olympics wakati bajeti ya Wizara yetu ni 1m pounds.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...