Hii ni kwa wale wote waliosoma Shule ya Sekondari na Ufundi Ifunda
(All alumni of 1990s - 2000s & Beyond) katika kudumisha umoja, upendo na urafiki tulioujenga tukiwa shule, kukutana kufurahi pamoja na kuja na mipango endelevu kama WanaIfunda.
WAPI: MBALAMWEZI BEACH, MIKOCHENI DAR-ES-SALAAM
TAREHE: 05th FEBRUARY 2012
MUDA: KUANZIA SAA 5 ASUBUHI
KIINGILIO: BURE
Njoo tukumbushane: Minazi, kuuzoa, Kiyeuyeu, Lyandembela, msitu, kwa mama, Kibaoni, Kivalali, kuruka, kulazwa na mwakishikamata.
Je unakumbuka SOG ya A.Y, snare na Buff G? Unajua walipo vipanga wa mwaka wako? Unawakumbuka makevu wa darasa lako?
Usipange kukosa na mjulishe kila aliyepita Ifunda
ITAKUWA POA SANA……………..
Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana na Organizers Benson (0754710846) or Donnasian (0684726325)
Hakuna shule ya ufundi Ifunda bali magofu na uozo - nani ameua Ifunda? - shule, au chuo kimechoka kama mbwa koko, ufundi hakuna tena na mitambo imeng'olewa.
ReplyDeleteShule ipo iringa, wanafunzi wanatoka nchi nzima, lakini mikutano Dar. Hii inaonyesha ni kwamba watu wanatafuta sababu ya kulewa pombe tuu kwa sababu breweries nayo ipo Dar. Hivi kama nimemaliza Ifunda mwaka 1991, nimetoka Shinyanga na ninafanya kazi Kigoma, kwanini niende Dar kwenye mkutano wa Ifunda? kwa nini mkutano usifanyike Ifunda mahali ambapo nitayaona mazingira halisi ya sasa ya shule yangu?
ReplyDeleteebwana nimeipenda hii.. mdau wa tue jan 24 01:20:001PM 2012..maneno yako uliyoyatoa inaweza kuwa ni sahihi lakini una uzalendo inavyoonekana, ndo maana watu wanapanga kukutana maana hujua kuna ajenda gani, pengine wanataka kufanya utaratibu wa kuisaidia shule yetu zilipendwa je?...ebwana ben na don big up...nikumbusheni tu siku ikifika..ebwana si mnamkumbuka masela...daa yule jamaa ebu niambieni alipo aisee..
ReplyDeletenipo hapa 0715 333 235
au loptz@yahoo.co.uk
ebana ndiyo kama kawa,kama dawa tutankinukisha pande za Mbalamwezi..
ReplyDeleteGoodluck Charles(Form four 2002)
je unamkumbuka teacher mwakalindire? mhapa,kapingu/mzee kombo/kipengere kitomari na yule demu aliyekuwa anagawa uroda kwa wote mage? jina la utani dustbin.alifariki ki ajabu mno .na yule teacher mlefu kama twiga ruanja au kipensi.mdau uk 1983-1986
ReplyDeleteHili suala lilijadiliwa na wengi kabla halijatangazwa kwenye Globu ya jamii, ikaonekana kwa sasa wengi wapo Dar na mikoa ya karibu(Pwani na Morogoro).
ReplyDeleteNa imeonekana ni vyema wakakutana wadau wa enzi zile! Kipindi cha mwaka jana kuna wadau walitoa msaada kwa shule!
Mimi Binafsi niko mbali na huku kuna wadau pia wa Ifunda kwa hiyo sio mbaya wenzetu huko wakituwakilisha.
Mdau
St. Petersburg, Urusi.
duuu ebwana eeeh nimeipenda hii,
ReplyDeletekuna lile joka linaloitwa KOBOKO hivi kweli lipo au utani tuu, na yule jini USTADHI TALL kweli huwa anaishi kule mto lyandembela...teh teh ,
kitu man tu man, SARWAT, PORK na wengine wengi.
advance 2003 - 2006
dah poa wangu kinudy hapa tukumbushane siku ikifika wangu mzee wa b4 wapi dunga sisi tulikuwa b2 na akina ras j wapi durbaman na wazee wa subbirbo wapi vitomari usiku tehetehete tukiluka na wazee wa kuuzoa wapi vizibo dar ebwana good ideal lazima tuje tukumbushane wapi mastre killer pengine atakuwepo msikate tamaa na wanao ponda ujue wanapenda sema wako mbali ndio maana roho inawauma teheteheteheteheteh mdau nurdin wa b2 mkwawa hapa 100% bila kukosa nicheck kwenye 0713 287020
ReplyDeletemsianze kutupia kashfa zisizofaa kwa watu,eeeeeeh anagawa uroda cjui nini.wana ifunda ni love peace nappiness.
ReplyDeletemdau wa D5,raha.1994-1997.