Mkuu wa kituo cha polisi mbinga mjini,Wilayani mbinga mkoani Ruvuma, ASP Gogfrey Ng'humbi akifafanua jambo kwa waandishi wa habari juu ya mkakati unaoendelea wilayani humo wa kupambana na matukio mbalimbali ya uharifu pia alitoa wito kwa wananchi wa wilaya hiyo kushirikiana na jeshi hilo katika zana nzima ya ulinzi shirikishi jamii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Wananchi washirikishwe vipi wakati wanaona polisi wakila rushwa,mahakama hazitendi kahi.Inabidi mfumo wa polisi,usalama wa raia kwa ujumla na mahakama vifanyiwe marekebisho makubwa au vivunjwe.Hatuwezi kuishi karne hii uyukiibiwa ukienda kuripoti karatasi hamna inabidi ununue.Polisi kwenda kuangalia uhalifu ukiofanywa inabidi umpe pesa.Mahakamani inabidi uhonge ili mhalifu ahukumiwe.AIBU KUBWA

    ReplyDelete
  2. very decorated police, are those office curtains - very flowerly for a police office - wake Godfrey!!!

    ReplyDelete
  3. ''very decorated Police''

    Sasa wewe ulitaka Ofisi ya Polisi isipendeze, isitiwe rangi, isiwe na mapazia na iwe kama zizi la ngómbe?,,ebo!

    ReplyDelete
  4. Watu kama Mhe. Godfrey Ngh'umbi kwa vile ni kamanda Kijana na Msomi ndio tunawategemea kuibadili Polisi kutoka dhana ya kuwa Ofisi zake chakavu chakavu na kuwa Ofisi za kisasa huku zikitenda kazi kwa Misingi inayokubalika Kibinaadamu!

    ReplyDelete
  5. Ni muhimu kuwa na Maafande Kizazi kipya na Wasomi ili Polisi isiwe ni ile ile ya mwaka 1947,,,Mahabusu kujisaidia ktk (MTONDOO) au madebe!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...