Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na mabalozi wapya walioteluliwa na kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete hivi Karibuni. Mazungumzo hayo yalifanyika ofisini kwake jijini Dar es salaam leo. Kushoto kwake ni Dkt. Batilda Burian-Kenya na Ali Saleh-Oman. Kulia kwake ni Philip Marmo-China, Dkt. Ladislaus Komba- Uganda, Shamim Nyanduga- Msumbiji na Grace Mujuma- Zambia.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na mabalozi wapya walioteuliwa na kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni baada ya kuzungumza nao, ofisini kwake jijini Dar es salam leo. Kutoka kulia ni Dkt. Batild Burian- Kenya, Philip Marmo- China, Shamim Nyanduga- Msumbiji, Dkt. Ladislaus Komba - Uganda, Mohamed Hamza - Misri, Grace Mujuma, Zambia na Ali Saleh - Oman. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Congrats grace mujuma,
ReplyDeleteHongera Grace Mujuma, na pole kwa kifo cha Baba yako Dr. Maro. Mungu awape familia yote nguvu kwa kipindi hiki kigumo. Pole sana Mama Violet Maro.
ReplyDeleteMbona Mindi Kasiga hatumuoni hapo au ameishakwenda America maana sherehe yake ya kumuga ilifana sana
ReplyDeleteHuyo anaekwenda Misri Mh. Rais kampatia kweli utadhani ni mmoja wao,mie mweusi tiii sjui atanipeleka nchi gani?
ReplyDeletehongereni waheshimiwa mabalozi.
ReplyDelete