Mwenyekiti wa Wananchi Group ambao ndio waanzilishi wa ZUKU TV,Ali Mufuruki akizungumza wakati wa uzinduzi wa ZUKU TV uliofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye Hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi Mkuu wa Wananchi Group ambao ndio waanzilishi wa ZUKU TV,Richard Bell akizungumza wakati wa uzinduzi wa ZUKU TV uliofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye Hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi mkuu wa TCRA,John Nkoma akizungumza wakati wa uzinduzi wa ZUKU TV uliofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye Hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hahaha Wa Scottish na sketi zao babake,,,Usipime!

    Kama anavyoonekana Richard Bell Mkurugenzi mmojawapo wa Zuku mwanaume akiwa amevaa Sketi!,,,Wa Scottish na pia Wa New Papua Guinea wanaume wanavaa Sketi, mnakumbuka Waziri Mkuu wao George Speight alikuwa anavaa Sketi ila yeye yake ilikuwa kali na kuwa miguu pekupeku bila viatu akapanda ndege hadi Uingereza!

    Duhh wasije wakatuleta tena Vijana wetu wa Ki Bongo wakasoma vibaya wakafikiri ndio katika matekelezo ya Sera ya Mwingereza ya Ushoga!

    ReplyDelete
  2. Haya mzungu amevaa kikwao nyie mmevaa suti. Vazi lenu la taifa liko wapi?

    ReplyDelete
  3. Siyo sketi ni kilt wewe!

    ReplyDelete
  4. Mfuruki yuko juu jamani, kila siku anazidi kupaa juu. Mkewe ambae ndio bisness partner wake mkubwa yuko wapi mbona haonekani kwenye uzinduzi huu? huwezi kuwa na mazungumzo nae akaacha kusema mai waif and I kwenye kila kitu, so inashangaza kutokuwepo kwake katika hafla hii.
    Hongera Kaka Ally, lakini usitusahau jamaa zako wa enzi ukikaa kwenye nyumba ya kupanga masaki.

    ReplyDelete
  5. na wao watanzania walitakiwa wavae vikoyi vyao ahaaa ahaaa auhamtaki?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...