MUUZA NYAMA ZA KUKU BW SAID NYENJE KULIA, AKIJARIBU KUMSHAWISHI MTEJA WAKE AMBAYE HAKUTAKA KUTAJA JINA LAKE KUNUNUA NYAMA KAMA ALIVYOKUTWA NA MPIGA PICHA WETU MJINI SONGEA JANA KATIKA MTAA WA MATOMONDO MJINI HUMO KILA KIPANDE HUUZA KATI YA TSH 500 HADI 1000 KUTEGEMEA NA KUKUBWA WAKE.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. hivi mtu unajuaje ni kuku? maana hata paja za paka zinauzwa kama ni kuku?

    ReplyDelete
  2. No food hygine hapo salmonela njenje!

    ReplyDelete
  3. Wenye bar mlie tu, watu ni creative kama hivyo. Nyie mnapandisha nyama choma na kuku wamachinga wanatuuzia bei poa. Ila mmh sitanunua ng'o hata kama njaa inataka kunizimisha.

    ReplyDelete
  4. halafu niondoke Bongo! niende wapi?

    ReplyDelete
  5. Hii kitu tamu nyinyi. Msidanganyike na mambo sijui ya Kempinsk, au serena. Hawa kuku wanchinjwa leo, jioni wote wameisha. Kempinsk kuku takaa kwenye fridge mwezi mzima test itatoka wapi? Nitakula mpaka siku nife ndio basi

    ReplyDelete
  6. Heri yenu mnayekula kuku aliyechinjwa jana yake,wenzenu huku Europe kuku wamekaa kwenye freezer zaidi mwaka bado tunawakamata,better home bongo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...