kamanda wa Polisi wa kanda maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova akizungumzia hali halisi ya kiusalama na mambo mengine mbalimbali kuhusiana na mechi ya kesho kati ya Yanga dhidi ya Zamalek ya Misri itakayofanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Sasa unavyosema tusiingie na Vimguu vya kuku vyetu tuviweke wapi
    wakati ni kama simu zetu za mkononi
    kwa hiyo tuviweke kabatini au,badilikeni aisee.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...